everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
matatizo mengine ya ndoa kusolve ngumu,kuachana ngumu,lazima uende hivo hivo
Hakuna magumu ni kwamba mmekaza shingo zenu msipatane.
matatizo mengine ya ndoa kusolve ngumu,kuachana ngumu,lazima uende hivo hivo
Hahhaa inaonyesha hujui kupika
Kama unampenda utamfundisha, pia vyuo vya upishi vipo kibao mpeleke akajifunze, niliwahi kuwa mchepuko unaojua kupika wacha we kidogo nihamie, but nikaamua kumpeleka mahala wife akajifunza, now ni mpishi mzuri sana.
Nimekumbuka thread moja jamaa alikuwa analalamika kuwa walikuwa kwenye gari na mama mkwe afu mama mkwe akaona vogue akati mkwe anaendesha vitz afu akaanza kumsifia mwendesha Vogue kuwa ndio mwanaume...
Sasa unaenda kuoa familia kama hiyo ambayo mama mkwe ni shangingi (huitaji degree kulijua hilo) unategemea nini kama siyo kuchapiwa????
Muwege mnachunguza familia wanazotoka wake zenu...si kuangalia vitu immaterial kama mapishi....
Ukishajua kupika tu yaani issue ya kufanya adjustment ni easy tu ndio maana kwa wale walioishi sehemu tofauti tofauti wengi wanakuwa wataalamu kutokana na kukutana na aina tofauti tofauti ya mapishi. Mfano kwa huku Mwanza na Tabora kuna majani flani yanatoa matunda mekundu madogomadogo tunaita matunda ya nyoka lakini majanai hayo hayo ukienda kuanzia Dodoma mpaka mikoa ya pwani utaambiwa ni mboga aina ya mnafu na kweli unakuta ukiishi kwenye hiyo jamii unajikuta na wewe umeji-twist na mwanamana anakuwa mtaalamu wa mapishi ya mnafu kuliko hata waliozaliwa na mnafu vivyo hivyo na kwa mtu wa Tabora huwezi kumtenganisha na mrenda na matembele ila kutokana na kuingiliana makabila ndio hivyo tena tunajikuta tunapambana na changamoto za misosi lakini mwisho wa siku watu wanafanya adjustmentMimi naona hapa watu wana exaggerate...
wewe umeongea point...mimi nimeolewa na msukuma...ilibidi nijifunze kusonga ugali mgumu...huu nilojifunza pwani (maana nimezaliwa na kukulia Dar) kwa wasukuma ni uji...
Sasa utasema sijui kupika...
Nimetembea nchi za watu nikajifunza mapishi ambayo si ya kitanzania...sasa hao wenye nchi yao watanambia sijui kupika...???
Kujua au kutojua kupika ni relative term....
BK ambayo ndio asili yangu ndizi usipozichemsha huku umechanganya kila kitu hawazioni tamu...nao utasema hawajui kupika? Nigeria uisipoweka pilpili mpaka mtu anasukumizia maji chakula si kitamu...utasema sijui kupika kisa sijaweka pilipili?
Kuna watu wanapenda mlenda..mimi sitaki hata kuuona..utasema sijui kupika sababu sijui kupika mlenda sijui tembele????
Hapa tunazinguana tu...wewe umeongea point...kwako kitamu kwa mwenzio cha uchachu...
Mfano upo kwenye ndoa na mna watoto unaona rahisi kuachana
Kipi bora sasa kupatana na mkeo au kuachana?
mkeo hataumia hataWachepukaji utawajua tu...vijisababu vingiiiiii ilimradi tu achepuke. We jamaa mkeo atapata tabu sana manake udhaifu wake kidogo tu utautumia kuchepuka. Cooking is an art, sio kilema,so ni rahisi tu kujifunza. Husband material ni wachache sana siku hizi.