nitachepuka kwingine ndani ya kuchepuka
Kuachana
inategemeana na uzito wa ishu husika
Nyumbani kwangu sio tuition center mura.
Na mkeo siyo Chief cooker hajafata kwako kupika.....
Kupika ni wito mama kama haujazoea utaona kama mzigo yeye alikuwa hajazoeshwa kupika kwakuwa kwao alikuwa anapika house girl so akaona ni kazi ya house girl na si yake, sasa ikifika ukubwani kumwambia kupika itakuwa ni adhabu kwake na atafanya kwa sababu ya mapenzi tu si kama wajibu ndo maana nimesema mapenzi yakianza kuchuja hataweza kupika, cha msingi tuchague wapenzi wa staili yetu na si kuiga, kuna wanaume wanapenda mwanamke wa hivyo atamtafutia mahousi gelo wawili, ndani kuna washing machine na kila kitu sasa mwenzangu na mimi ukipata mwanamke wa hivyo ni shida! hata kama kuna housi gelo lakn chakula cha mke huongeza mapenzi hasa pale akipika then ukamsifia nhiyo inakuwa kama reward na inamhamasisha kukupikia na mapenz ndo yanasonga mbeleJamani atajifunza wapi wakati kwao hakufundishwa hivyo? Muelekeze namna ile unayopenda.
Kama mke unampa hela za matumizi halafu anapika msosi haunukii unategemea nini?
halafu mchepuko anakukaribisha lunch,lazima kucheat.
![]()
![]()
![]()
Mkuu michepuko gharamaaaaa! Kiasi ambacho ungekula home kwa wiki minaliwa mara moja kwa mchepuko! Nina uzoefu siwataki kabisaaaa hata apike chakula kizuri kiasi gani
Ukishajua kupika tu yaani issue ya kufanya adjustment ni easy tu ndio maana kwa wale walioishi sehemu tofauti tofauti wengi wanakuwa wataalamu kutokana na kukutana na aina tofauti tofauti ya mapishi. Mfano kwa huku Mwanza na Tabora kuna majani flani yanatoa matunda mekundu madogomadogo tunaita matunda ya nyoka lakini majanai hayo hayo ukienda kuanzia Dodoma mpaka mikoa ya pwani utaambiwa ni mboga aina ya mnafu na kweli unakuta ukiishi kwenye hiyo jamii unajikuta na wewe umeji-twist na mwanamana anakuwa mtaalamu wa mapishi ya mnafu kuliko hata waliozaliwa na mnafu vivyo hivyo na kwa mtu wa Tabora huwezi kumtenganisha na mrenda na matembele ila kutokana na kuingiliana makabila ndio hivyo tena tunajikuta tunapambana na changamoto za misosi lakini mwisho wa siku watu wanafanya adjustment
Mie nilikaa maeneo ya kwenu kipindi flani yaani zile ndizi za kuchanganya na maharage yaani ndizi bukoba kwa ujumla wake zilikuwa hazipandi kwa kuwa niliishi kwenye maeneo ambayo ndizi mshale ndio zinaliwa kwa wingi kama ni ndizi za Bukoba basi ujue ni kwa ajili ya mtoto kutokana na ulaini wake
kama hajui kupika nikosa la wazazi wake
Wachepukaji utawajua tu...vijisababu vingiiiiii ilimradi tu achepuke. We jamaa mkeo atapata tabu sana manake udhaifu wake kidogo tu utautumia kuchepuka. Cooking is an art, sio kilema,so ni rahisi tu kujifunza. Husband material ni wachache sana siku hizi.
Kwasababu hajui kupika au?
Na mkeo siyo Chief cooker hajafata kwako kupika.....