Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
Kupika ni wito mama kama haujazoea utaona kama mzigo yeye alikuwa hajazoeshwa kupika kwakuwa kwao alikuwa anapika house girl so akaona ni kazi ya house girl na si yake, sasa ikifika ukubwani kumwambia kupika itakuwa ni adhabu kwake na atafanya kwa sababu ya mapenzi tu si kama wajibu ndo maana nimesema mapenzi yakianza kuchuja hataweza kupika, cha msingi tuchague wapenzi wa staili yetu na si kuiga, kuna wanaume wanapenda mwanamke wa hivyo atamtafutia mahousi gelo wawili, ndani kuna washing machine na kila kitu sasa mwenzangu na mimi ukipata mwanamke wa hivyo ni shida! hata kama kuna housi gelo lakn chakula cha mke huongeza mapenzi hasa pale akipika then ukamsifia nhiyo inakuwa kama reward na inamhamasisha kukupikia na mapenz ndo yanasonga mbele
Tena ktk kunogesha mahaba ile jmos mnapika wote.....
Sasa mwanamke hata kupaka siagi kwa mkate hajui wa kazi gani???
Mwanamke anawaza mle hoteli daily khaa???