Lazima nicheat kama mke hajui kupika

Lazima nicheat kama mke hajui kupika

Naona umeanza kuongea kutuliza nafsi ni pamoja na kupikiwa chakula kitamu mwanaume natakiwa akimisi chakula chako, huyo wa kuchapuka kisa chakula ana yake labda alitaka kuchepuka yoka mwanzo ila alikuwa hana sababu saizi ndo kaipata

Haya kwani huwa mnaridhika nyie, hivi kuna mke asie na hamu hata siku 1 ampikie mumewe? Hata kama kuna h/girl. Ila mmetofautiana wengine ni gubu turn hakuna jema.
 
Kwanini tusiridhike kama unaridhisha? siku hizi ni wachache sana ambao wanaona umuhimu wa kumpikia mume the lest wanataka hata mume apike,kupika chakula then ukasifiwa na mume kuwa umepika chakula kitamu hiyo ni sehemu ya faraja ya mke wengi wanaona eti ni utumwa.
 
Mvivu wa kupika ilihali anajua jinsi ya kupika kama alivyoelekezwa huyo ni rahisi sana kuachana na hali hiyo kinachofanya awe mvivu ni kwa sababu huwa anahisi si majukumu yake sana, kuna watu hawajui kabsa hata maharage anaweza kuipukia yakiwa mabichi, ukimwambia apike kuku hata kumnyonyoa hawez huyo kupika lazima iwe mzigo kwake, ukija kwenye suala la uchaguzi wa mwanamke mara nyingi hisia zinatuongoza hatuangalii vitu vya msingi siku hizi wanaangalia sana sura tabia wenyewe wanasema tutarekebishana ndo shida anaposhidwa kuirekebisha tabia ndo anakuja na sababu za kutaka kumuacha as if alifungiwa kwenye gunia wakat anaoa

Tena huyo ambaye hajui ndo mzuri na utamfundisha atakuwa jembe kweli,mbona mahouse girl tunawapokea hawajui chochote tunawafundisha na badaye wanakuwa wapishi wazuri sana kuliko motherhouse.

Makabila tumetofautiana kabisa kuna makabila asili yao ni uwindaji tu,wanawinda mnyama wanachinja na kuchoma hapo hapo imetoka hawajui habari za kuchemsha,sijui kukaanga,wala mambo ya wali sijui ugali.

Unalifahamu kabila la wahadzabe? Wale wanashindia asali na ubuyu tu,asili yao kuwinda akipata mnyama ndo wamchinje wachome wale,je ndo umepata binti wa hivyo na ni wife material kasoro moja tu kupika umuache kisa hicho tu? Hapana kwakweli ukimpenda utamlinda,kumlinda kwenyewe ni pamoja na kumfundisha yale ambayo hajui,kama na me naye hajui mpeleke shule za upishi,l wiki mbili tu ni mtaalamu.
 
Umeongea kweli my, maana wamezoea kutuandama kama nini, mbona hata wao wapo wasiojua majukumu yao.
 
Mama wengine wameenda shule mpaka yunivasiti hajui kupika naye umpeleke chuo cha upishi???? Ninaimani mpaka unaamua kumuoa tayari unakuwa taarifa juu ya tamadun za kabila lao, hao uliosema mpaka leo wanishi msituni yaan hawachangaman na watu kiviiile ukiona umedondokes huko ujue na wewe ni wa jamii hiyo hiyo ya wawindaj hata kama si wa kabila lile, hao mahouse girl wengi wao mnawachukua wakiwa wadogo hivyo wanakuwa katika nafasi ya kujifunza na ndo maana wengi wanapenda mahous girl wenye umri mdogo ili iwe rahisi kumfundisha wanaogopa kuwa na mahausi gelo wakubwa wana maexperience yao asije akakorofisha msosi kuliko maza hausi na kumuova tek bureeee, binafsi sitaoa ambaye hajui kupika, kwenye kupika hapa simaanishi sijui kuchanganya maviongo meeeengi la hasha kama ni kuku ajue kumpika standard
 
Kupika nako ni elimu kwani kufika university ndo kujua kila kitu,tena huyo wa university ndo anaweza asijue kabisa kwasababu muda wote alikuwa bize na masomo.

Mbona sisi wanawake tunawafundisha mengi na hatulalamiki? Unakuta mwanaume na usomi wake swala la kuoga kwake ni shida,tunawafundisha usafi,tunawafundisha kuvaa,tunawafundisha kusave money,tunawafundisha tabia njema na tunajiskia fahari kutoa mafunzo na hasa pale somo likieleweka,wewe huwezi jiskia vizuri umemfundisha mke kitu na anakifanya kwa ustadi,huwezi kupenda hilo?
 
Umeongea kweli my, maana wamezoea kutuandama kama nini, mbona hata wao wapo wasiojua majukumu yao.

Yaani acha tu wangu,wanaume kibao hawajui majukumu yao,wake zao wanaficha aibu zao nao wanaonekana ni vidume mbele ya madume wengine.
 
Kwani siku hizi watoto wa kike wanafundishwa kupika!!!hata kuoa kwenyewe mnakutana mtaani au chuoni hujui kama kupika ana jua au la, .
Huu upuuzi sina kabisa… na kwanza ndo unazidi kupotea utamaduni huu wa kukutana leo kesho harusi… Ndo maana Ndoa zinafungwa Mtu ana kijusi Tumboni

Mpaka mwanaume kama mm nimekuoa ujue nimekuchunguza… nimejua mapungufu yako. Ila pungufu lako la Kutokujua kupika siwezi vumilia…

now days mtoto anasoma toka chekechea boarding mpaka chuo huo muda wa kupika ataupata wapi wakati mahousegirl home wapo wanafanya kila kitu hahahahaaaa mtajibeba.

Labda kama unawapenda Type hiyoo ya KUTOKUPIKALESS… Maana nahisi kina Wema Sepetu wanaangukia Hapa.. Na mpaka Leo wanapitwa Tu kama Hawaonwi na Wanaume…

DIRECTORJOAN kashafunga Ndoa… Yeye hata Haijulikani ni lini…. Ni nani anayependa Show off za Wanawake kuwa Limbukeni..

WEWE NI MWAFRIKA na Kigezo kikubwa cha Uafrika Mwanamke awe mzuri Jikoni.. Ungekuwa Miaka ya Nyuma ungeonekana Umechanganyikiwa au Wamekuloga kwa Wewe kuoa mwanamke asiyejua kupika…

Kwa sababu ya Show off za Wadada na Utandawazi unaona sawa tu
 
Haswaaa unatakiwa umfundishe!! Kwao alizoea kupika roshoroo,kitawa,kifughe,makukuru wewe unataka biriani,makange,chips,walI nazi,piza ,wapi na wapi ndugu yangu we? Mfundishe namna ile unayopenda,tumetoka familia mbalimbali wengine walizoea vya kukaanga wewe wataka vya kuchemsha hali kadhalika unataka vya kukaanga yeye alizoea vya kuchemsha.

Nimekuuliza Je kama Mwanaume Hajui kupika???

Halafu Vipi kuhusu vipindi vya Mapishi anavyoangalia Na Vinavyorushwa kila siku kwenye Tv…

Ila Bongo Movie na Series za Kikorea mnaangalia Hampwitwi PTUUUU. Eti leo Nije Nikufundishe Kupika.. 😃😃😃😃

Yaani Mimi kwangu huna Nafasi na Usitegemee Utaenda kuolewa hujui kupika hakuna Mwanaume Tahira labda uwe umempelekwa kwa Karumanzira ndo atakubali akuweke Ndani
 
Ndiyo hata kama kakaa miaka 30 hajui namna ile wewe unapenda yeye anajua vile kwao walivyozoea,mfundishe namna unayotaka

Tv za mapishi haangalii au Magazeti ya Mapishi hawezi nunua…

Mbona Mwanaume atakayekuwa Ameoa mwanamke wa Aina hii atakuwa ameoa Mwanamke Mgandoo kabisa..

Yaani kama Hawezi hata kujiongeza Aweze Kuangalia TV na Kununua Magazeti ya 1000 ya Mapishi.. Huyu kweli anaweza Akawa na Wazo la Biashara kweli??
 
Haswaaa unatakiwa umfundishe!! Kwao alizoea kupika roshoroo,kitawa,kifughe,makukuru wewe unataka biriani,makange,chips,walI nazi,piza ,wapi na wapi ndugu yangu we? Mfundishe namna ile unayopenda,tumetoka familia mbalimbali wengine walizoea vya kukaanga wewe wataka vya kuchemsha hali kadhalika unataka vya kukaanga yeye alizoea vya kuchemsha.

Dah ume mention misosi ya kule kwetu...loshoro, makukuru
 
Nimekuuliza Je kama Mwanaume Hajui kupika???

Halafu Vipi kuhusu vipindi vya Mapishi anavyoangalia Na Vinavyorushwa kila siku kwenye Tv…

Ila Bongo Movie na Series za Kikorea mnaangalia Hampwitwi PTUUUU. Eti leo Nije Nikufundishe Kupika.. 😃😃😃😃

Yaani Mimi kwangu huna Nafasi na Usitegemee Utaenda kuolewa hujui kupika hakuna Mwanaume Tahira labda uwe umempelekwa kwa Karumanzira ndo atakubali akuweke Ndani

Sasa wewe utagombaje kwa kitu ambacho hujui?imaana unajua kipi ni kizuri na kipi kibaya,sasa kama hujui kupika mtafutie chuo aende,muelimishe aangalie vipindi vya upishi,huyo ndo chaguo lako huwezi muacha kwa minor reason kama hiyo,ndoa ni zaidi ya mapishi,hakuna aliye mkamilifu
 
Tv za mapishi haangalii au Magazeti ya Mapishi hawezi nunua…

Mbona Mwanaume atakayekuwa Ameoa mwanamke wa Aina hii atakuwa ameoa Mwanamke Mgandoo kabisa..

Yaani kama Hawezi hata kujiongeza Aweze Kuangalia TV na Kununua Magazeti ya 1000 ya Mapishi.. Huyu kweli anaweza Akawa na Wazo la Biashara kweli??

Yeye anaweza kujionea sawa tu wewe ndo jicho lake wapaswa kumwambia hapa si sawa,atajirekebisha na maisha yatasonga mbele...mbona wewe kuna mambo huwezi na anakubeba bila kinyongo?
 
km unataka mke mpishi kaoe tanga,wenyewe wanasema cfa za mwanamke n tatu na upsh ukiwepo.ukiwapata hao n zaid ya limbwata
 
Yeye anaweza kujionea sawa tu wewe ndo jicho lake wapaswa kumwambia hapa si sawa,atajirekebisha na maisha yatasonga mbele...mbona wewe kuna mambo huwezi na anakubeba bila kinyongo?

Yaani hapa ni Sawa na kusema Kwamba ..Mwanamke anayevumilia mwanaume asiye Simamisha Eti Baadae atamfundisha… Hahah

Kuna Mambo Mengine hayavumiliki kwahiyo usijipe Moyo wa hivyooo.. Ndo maana Mimi nasema Lazima Kukaa kwanza Kwa Muda Fulani Na Mtu ndo nijue Mapungufu yake… Kama Yeye atakuwa Ni Mtu wa Kuniambia Mara Oooh Niletee Chipsi Hapo Kwa Mangi.. Oooh na Hamu na Chapati sijui zimekuwaje.. Huyo najua ni Mvivu na Hatoweza Kukaa na Mimi na Kuweza Kunipikia hapa Siku moja nikaridhika na Mapishi yake…

ANGALIA HII SCREENSHOT YA LEO.. Huyu ni Zamaradi Mtemwa ana mtoto wa Kiume.. Kigezo cha Kwanza Cha Kumtoa Mwanae ni Mwanamke Kujua Kupika… Yaan Mwanamke Mwenzako Anajua Kabisaaaaa… Na Wala Hajasema Mtoto wake. Ataenda Kumfundisha huyo Mwanamke
 
Attachments

  • 1416750062504.jpg
    1416750062504.jpg
    60.3 KB · Views: 108
Back
Top Bottom