Lazima mke ashuke tu kwa mumewe vinginevyo hakuna ndoa

Glenohumeral joint

Glenohumeral joint

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Messages
1,543
Points
2,000
Glenohumeral joint

Glenohumeral joint

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2017
1,543 2,000
Yaani mnavyoongeaga hizo kauli mnajikutaga miungu wenyewe mnadhani mnamkomoa nani sasa? Kwa Mungu mwanaume malaya na mwanamke malaya wote wana dhambi

Na kama ni kwenye jamii sidhani kama siku hizi wanawake tunajali tena jinsi tutakavyoonekana kwenye jamii yaani wanawake wa hivyo wamebaki wachache mno na ndo hao ambao wako tayari kuwa hata watumwa kwa wanaume ili tu waolewe lakini wengine tushashituka siku hizi

Ndoa anapanga Mungu na siyo binadamu na Mungu hakumleta mwanamke duniani aje ateseke wala kuwa mtumwa wa mwanaume na wala Mungu hakutaka ndoa zile za mwanamke kujifanya mjinga hata kama mumewe kakosea vipi

Dunia imeshabadilika siku hizi wanaume kubalianeni tu na hali halisi na kama mnaona kuwa hao wanawake mnawatumia endeleeni kujidanganya maana sidhani kama unaweza kusema eti unamtumia mtu ambaye anafanya kitu kwa raha zake
Ila wewe n moja ya wapenda 50-50%...... Mungu atakupa kulingana na stahili yako
 
M

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
215
Points
250
M

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
215 250
Kuna wakati niliingia anga za single mum mmoja. Mi kichwan nilitaka nimvute karibu nimvue ch.upi nitambae.

Sasa tumeenda kdogo nikamzingua kidogo.... weweeeeee hilo biti nililopigwa magu mwenyew anasubiri

....no wonder kuna wanawake KAMWE hawawez kuishi na mume ndani, never.
 
Glenohumeral joint

Glenohumeral joint

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Messages
1,543
Points
2,000
Glenohumeral joint

Glenohumeral joint

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2017
1,543 2,000
Mkuu siyo kila anayetetea vichaa basi na yeye ni kichaa hivyo basi siyo kwa sababu nimewatetea wanawake walioolewa na marioo basi na mimi nimeolewa na marioo kwanza kabisa mimi sijaolewa na mpenzi wangu naweza kusema anajitahidi sana katika kusimamia nafasi yake na kutimiza wajibu wake kwangu lakini nimeamua niwaseme wale wanaume ambao siku hizi nao wanatafuta wanawake ambao wana akili ya maisha au ambao wanajua kutafuta pesa

Ili wawasaidie hao wanaume kutafuta pesa na kuhudumia familia kumbe mnajua kuwa wanaume wa design hiyo wapo na ndo hao marioo sasa mbona hamuwasemi kutwa kutusema wanawake tu niamini mimi mwanamke akishaanza kuingilia majukumu ya mume wake lazima tu atakuwa na dharau huyo mume atake asitake na kama hataki basi ndo atimize majukumu yake yote kama mwanaume bila kusubiri mke amsaidie
Natamani niongee kitu ila nahis huwez kunielewa.....akili yako yote ushaidirect ktk kubishana badala ya kueleweshana .....punguza jazba then come and discuss with proper knowledge
 
Edelyn

Edelyn

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
1,240
Points
2,000
Edelyn

Edelyn

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
1,240 2,000
Kila mwanamke ana akili zake......hata mkiongea sana hii battle hakuna atakayeshinda.....mwisho wa siku maisha yataendelea...ndoa n kusaidiana,kuvumiliana na kupendana.
Kumbe mnalijua hilo mbona mnawasemea wanaume wenzenu wanaoteseka kwenye ndoa hadi mnatukashifu wanawake? Waacheni hivyo hivyo maana kila mtu si ana akili zake
 
Edelyn

Edelyn

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
1,240
Points
2,000
Edelyn

Edelyn

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
1,240 2,000
Ila wewe n moja ya wapenda 50-50%...... Mungu atakupa kulingana na stahili yako
Kwanini nipende 50/50? Tatizo wanaume mnapenda wale wanawake wa kila kitu "ndiyo mume wangu" hao ndo mnawaona wanyenyekevu sisi wengine ambao tunawarekebisha kwenye baadhi ya mambo mnayokosea mnaona tunapenda usawa

Na yote hiyo ni kwa sababu hampendi kuambiwa na kuukubali ukweli mmeshazoea wale wanawake kama wa zamani ambao hata mfanye kosa gani wanawavumilia na kuwasamehe tu huku wao wanaumia ndani kwa ndani maana hawawezi kuwakosoa waume zao sababu wanaogopa wataonekana wajeuri
 
Edelyn

Edelyn

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
1,240
Points
2,000
Edelyn

Edelyn

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
1,240 2,000
Natamani niongee kitu ila nahis huwez kunielewa.....akili yako yote ushaidirect ktk kubishana badala ya kueleweshana .....punguza jazba then come and discuss with proper knowledge
I always stand to be corrected my friend maneno yangu siyo sheria wewe njoo tu na hoja zako nitakusikiliza
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
9,332
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
9,332 2,000
Kwa ujeuri wao ndo maana mengi yanakua singo maza.
Mimi nimeliacha moja lilikua lijeuri,sasa wanaligonga tu na kuliacha,juzi limenipigia simu oooh umeniroga ndo maana sipati mume,nikaliambia mchawi ni domo lako kama chai jaba.
 
Chumchang Changchum

Chumchang Changchum

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2013
Messages
3,568
Points
2,000
Chumchang Changchum

Chumchang Changchum

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2013
3,568 2,000
 
Chrisvern

Chrisvern

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Messages
1,751
Points
2,000
Chrisvern

Chrisvern

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2011
1,751 2,000
Kwa ujeuri wao ndo maana mengi yanakua singo maza.
Mimi nimeliacha moja lilikua lijeuri,sasa wanaligonga tu na kuliacha,juzi limenipigia simu oooh umeniroga ndo maana sipati mume,nikaliambia mchawi ni domo lako kama chai jaba.
Aisee! Nimecheka sana hii comment
 
M

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
215
Points
250
M

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
215 250
Wanawake wa siku hizi wanaviburi sana wanataka kuwa juu ya wanaume ndio maana ndoa nyingi zinavunjika na wanawake wengi kuwa ma single mother's
Humu wamejaa pia, wanafunua uzi na kuufunika,,,wachache wanajitutumua kusema chochote...lakin bahat mbaya sana wanaongea kwa ladha ileile iliyowasababishia haya
 
HoneyBee

HoneyBee

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Messages
756
Points
500
HoneyBee

HoneyBee

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2012
756 500
H
Katika miaka ya karibuni kumekuwa na upungufu mkubwa wa wanawake wazuri. Kwa sura, shape au mwonekano hasa mijini.

Pengine hii inatokana na mabadiliko ya tabia ya nchi na ukweli kwamba watu siku hizi hawapati lishe bora kama walivyopata wazee wetu.

Kupungua kwa idadi ya wanawake wazuri hasa katika jiji la Dar Es Salaam' Mbeya nk.. kumeendana pia na ongezeko la wanawake wenye viburi, lugha mbaya, wabishi, wagomvi na kwa ujumla washamba wa mahba.

Lugha mbaya inamfukuza mume nyumbani. Kiburi kinamkosesha mke zawadi. Gubu linamfanya mume ajifunze kwenda baa hata kama hiyo sio style yake.

Tabia ya kumchunga sana mumeo na kushindana nae kila mara huichimbia ndoa kaburini kama unaitaka ndoa yako basi usimjibu vibaya mumeo hasa mbele za watu na hasa rafiki zake.

Mpokee mumeo akirudi kazini hata kama umetingwa kiasi gani. Usimtume house girl kumpokea mzigo mumeo. Ni kosa la kiufundi.

Mwite mumeo kwa jina lake la kwanza. Usimwite 'wee' au 'huyu'... Sio sahiii. Na mume vilevile usimwite mkeo wewe au huyu!!

Ndoa inastawi au kubomoka kwa vitu vidogo sana. Yanasema maandiko kwa mujibu wa Paulo: "Enyi wake watiini waume zenu. Nanyi wanaume wapendeni wake zenu"

Kuna amri kuu mbili za kuzingatia ili ndoa idumu.
Kwanza, ni lazima mke amheshimu na kumtii mumewe.

Pili ni wajibu wa mume kumtunza na kumthamini mkewe kwa kila hali. NB: kulingana na uwezo wa mwanaume husika ni busara pia kwa mwanamke kuridhika na hali ya kiuchumi ya mumewe.

Mke akiwa na tamaa ni chanzo cha mifarakano katika ndoa. Kama huwezi kuvumilia hali yake ni bora muachane kuliko kumpa stress kila siku kaka wa watu.

Najua siku hizi wanawake wengi wana vipato vikubwa na wengine hiyo huwa sababu ya kuwadharau au kutaka kushindana na waume zao ukweli mchungu ni kwamba kama unataka ndoa lazima uwe submissive kwa mumeo.

Kama kipato kinawazuzua na mnaona hamuwezi kumtii mume ni bora akina dada wa aina hii waishi peke yao.
Hamchoki na hizi topic kila kukicha.
 
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
5,401
Points
2,000
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
5,401 2,000
Nasema hivi mume anayempenda mkewe ndiyo anayestahili utii na siyo vinginevyo narudia tena mume anayempenda mkewe ndiyo anayestahili utii na si vinginevyo
atakuoa bila kukupenda!?
 
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2014
Messages
5,401
Points
2,000
inamankusweke

inamankusweke

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2014
5,401 2,000
Yaani mnavyoongeaga hizo kauli mnajikutaga miungu wenyewe mnadhani mnamkomoa nani sasa? Kwa Mungu mwanaume malaya na mwanamke malaya wote wana dhambi

Na kama ni kwenye jamii sidhani kama siku hizi wanawake tunajali tena jinsi tutakavyoonekana kwenye jamii yaani wanawake wa hivyo wamebaki wachache mno na ndo hao ambao wako tayari kuwa hata watumwa kwa wanaume ili tu waolewe lakini wengine tushashituka siku hizi

Ndoa anapanga Mungu na siyo binadamu na Mungu hakumleta mwanamke duniani aje ateseke wala kuwa mtumwa wa mwanaume na wala Mungu hakutaka ndoa zile za mwanamke kujifanya mjinga hata kama mumewe kakosea vipi

Dunia imeshabadilika siku hizi wanaume kubalianeni tu na hali halisi na kama mnaona kuwa hao wanawake mnawatumia endeleeni kujidanganya maana sidhani kama unaweza kusema eti unamtumia mtu ambaye anafanya kitu kwa raha zake
mungu hawezi mpangia ndoa kichwa maji kama wewe...unaonekana ulishindikana sehemu na bado inakuuma,itakua umri umeenda huna tumaini la ndoa
 
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
1,343
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
1,343 2,000
we huoleki na hutokuja kuolewa kamwe
Haya Ni maneno yako,
Mwenye kauli juu ya Maisha yangu ni Mungu Wala sio wewe.Atakaposema ndiyo hakuna wa kupinga na hakuna wa kubadilisha ukweli
Na nakuombea Maisha marefu ili uje ushuhudie Nini Mungu ameniandalia
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
36,917
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
36,917 2,000
Mwanaume yupo juu siku zote na atabaki kuwa juu.
Mwanaume amepewa nafasi ya kuwa kichwa katika familia .
Mwanamke ameagizwa utii kwa mumewe
Mwanaume ameagizwa kuishi na mwanamke wa akili.,pia kumpenda mkewe
Tatizo huja pale wanaume wengi wanapokosa akili za kuishi na wake zao,,,hawawezi kusimama katika nafasi zao ipasavyo.

Shida huanzia kwa Mwanaume...
Mipango yote huanzia kichwani...
Kichwa huamua Nini mguu ufanye na Nini usifanye ,,Nini mkono ufanye Nini usifanye
Kama kichwa hakina maamuzi mazuri hata mwili pia utakaa vibaya

Vivyohivyo kiburi kwa mwanamke Ni matokeo ya mumewe kushindwa kusimama vema kwenye nafasi yake Kama kichwa
Watapita kama hawaoni hii komenti
 

Forum statistics

Threads 1,304,903
Members 501,587
Posts 31,531,248
Top