Mwanamke ni mwanamke tu Sikh zote .mwanamke mmoja kamwendea mwarabu huku swax amkopeshe godoro jamaa kagoma kumbe mama ni bwana afya hii j'mosi kakuta magodoro yanashushwa halafu kuna maji kdodo .ni kumkamata Mara fain badala ya 50000 jamaa katozwa 300000co mwanamke syo
Men protecting a man!! Kama hilo ndilo litalokupa amani, fanya bigdada. Majuto na kuomba msamaha vitafuata baadae. Kwa ulichoandika, usipopata namna ya kutuliza hasira zako tunaweza kushuhudia mauji au wewe kuwa kichaa!! Sikiliza moyo wakoo bigdada!!!
hapana mkuu, hii ni tabia ya mtu na si jinsia ya kike, hafanyi hivyo kwasababu ni mwana mke bali kwasababu ni yeye, angekuwa wa kiume angemlenga mama mtu!, na hii isingemahanisha kuwa wanaume wote wako hivyo isipokuwa yeye ndo yuko hivyo.
Mwanamke ni mwanamke tu Sikh zote .mwanamke mmoja kamwendea mwarabu huku swax amkopeshe godoro jamaa kagoma kumbe mama ni bwana afya hii j'mosi kakuta magodoro yanashushwa halafu kuna maji kdodo .ni kumkamata Mara fain badala ya 50000 jamaa katozwa 300000co mwanamke syo
Mkuu ukikuta ambayo fuse haipitishi moto mnapiga pu*bu tu hata ukoo mzima fresh tu. Mwanamke kama hayupo vizuri upstairs acha kipochi manyoya kipekuliwe na mafankuru.