Lawrence of Arabia...

Lawrence of Arabia...

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,626
Kila mara hii filamu inatjwa kama moja ya filam bora mo
binafsi kila nikijaribukuitazama naishia njiani
naona iko so boring na siilewi

kana watu humu wamewahi kuiona?
mnaweza leta kwa ufupi hii filam inahusu nini na why ni nzuri?
 
Nami ntafaidika na maelezo watakayoleta wadau
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Nimeshaiona lakini siwezi kusema ni the Best lakini sio Boring.. yaani siwezi kuilanganisha na other classics movies kama
  • The Postman Always Rings Twice au
  • North by Northwest au
  • The Nobel Prize
Unajua hizi movies za zamani kulikuwa hakuna manjonjo mengi na camera tricks za kuweza kuifanya movie ivutie.., hivyo hizi movies ili uzipende ni kufatilia sana dialogue, plot na story behind..

mfano Casablanca inavutia na kusikitisha ila ukiiangalia haraka haraka huwezi hata kumaliza dakika mbili sababu itakuboa na ni B/W kama ilivyo Postman Always Rings Twice

kwa maelezo kuhusu hii movie na full story angalia hapa
Lawrence of Arabia (1962)

By the way another movie ambayo ni nzuri sana classic (one of the best) sababu ya dialogue na ingenuity ya actor ni the Apartment angalia trailer yake...

The Apartment - Trailer - YouTube
 
nimesikia ni true story ndo maana nikawa more curious...
 
nimesikia ni true story ndo maana nikawa more curious...

Yes ni based on a true story lakini kama unavyojua chumvi zitakuwa nyingi zaidi sababu Lawrance mwenyewe ndio alitumika kuhadithia zaidi kuonyesha heroism zake, nilishaona somewhere kuna critic anamuongelea kwamba hii movie na vitabu vimetiwa chumvi sana (ingawa as a story its okay) ukizingatia hata cast sio mbaya kuna Mohammed Sherif na yeye ni good actor
 
Link ulinipa haifunguki
nilikuwa curious kujua
was Lawrence gay?
did he had sexual relationships with Arabian kings?
for what?
 
Link ulinipa haifunguki
nilikuwa curious kujua
was Lawrence gay?
did he had sexual relationships with Arabian kings?
for what?
Kuhusu his Sexuality kwenye movie haionyeshwi wala kwenye vitabu vyake hasemi kama alikuwa Gay kwahio hizo ni speculation ambazo sidhani kama zimepatiwa findings, na hio link niliyokupa hapo juu inaonyesha movie script yote sijui kwanini kwako haifunguki..

Kwahio nadhani jibu la hayo maswali hautayapata kwenye movie au vitabu vyake.., bali speculation za watu wachache
 
Thanx maana kuna mtu alileta hizo infos hapa jf
aki refer hiyo movie..so thanx kwa clarification..
 
Thanx maana kuna mtu alileta hizo infos hapa jf
aki refer hiyo movie..so thanx kwa clarification..
Kuna link hapa inayopelekea watu kufikiri kwamba alikuwa Gay mfano kuna scene mtu anamtesa kwa kumpiga na mijeledi alafu anapomaliza anajilamba midomo (scene hii watu wamepelekea kufikiri kwamba alikuwa Gay) ingawa binafsi nilivyoangalia sikufikiri hivyo wala hio sio conclusion...
57267.jpg

(labda scene hii ilitaka kudepict kwamba hao / huyo muarabu ndio gay...) ingawa mimi sikuona any gayness kwenye movie na hii movie naweza kusema inaweza kuwa a rated as a family (sikumbuki kama kuna any sexual scenes..) soma hapa kwenye hii link huyu jamaa anajibu maswali if he was gay or not.., na conclusion anayotoa ni kwamba kwenye movies au vitabu vyake hakuna jibu hili... Lawrence of Arabia - Was He Gay? – classicmoviechat.com
 
Hii ni filamu ya Kiingereza iliyotengenezwa na kuwa directed chini ya kampuni ya Kiingereza. Ndiyo maana Waingereza huwa wanaifagilia sana kama wanavyopenda kufagilia mambo yao mengine. Japokuwa ni true story lakini critics wanadai kuwa wame-romanticize hiyo filamu na kuna baadhi ya characters ambao siyo real.

Kihistoria filamu hii inahusu zaidi jinsi Mwingereza Lawrence alivyofanikiwa kuwaunganisha Waarabu kuwapinga Wajerumani wakati wa Vita ya Kwanza ya Dunia na pia nafikiri kusadia kupigana dhidi ya Uturuki na kusababisha kuanguka kwa Ottoman Empire, japokuwa what went around him came around to hunt him later.

Wapo wanaodai kuwa filamu ilikuwa maarufu kwa sababu huyo mwanajeshi alikuwa "hot" na popular sana baada ya kuiangusha the Ottoman Empire.

Lakini filamu hiyo ina baadhi ya vitu ambavyo havipatikani sana kwenye filamu za siku hizi. Kwa mfano, filamu ni ya dakika zaidi ya 220. Filamu ndefu ya hivi karibuni ambayo nimeshawahi kuingalia ni Schindler's List. Utahitaji utenge zaidi ya masaa matatu kuiangalia hii filamu.

Kwa mujibu wa the New York Times, "NO studio today would make a film like "Lawrence of Arabia" - 227 minutes long, featuring a cast of hundreds riding camels through the desert, shot on location (there were no computer graphics in 1962). Yet Sony Pictures' new 50th-anniversary restoration ….seems fresh and modern, in its political themes and its stunning visual clarity." http://www.nytimes.com/2012/09/30/m...bia-mended-returns-to-screen-and-blu-ray.html

Nenda kwenye hiyo link kuna picha juu ya article then jaribu kuangalia a scene from the film before and after its restoration kama utaona tofauti yoyote.
 
Hizi filamu nyingine kuzielewa mpaka ujue historical context. Ni kama Watanzania waseme filamu ya Mkwawa ndiyo bora kabisa halafu Mgiriki akaishangaa kama ya kwaida (kuna documentary ya Mkwawa nimeiona ZIFF mwaka jana naitafuta).

Halafu unaweza kuambiwa filamu bora usipojua criteria ukashangaa.

Mie nilisikia Citizen Kane ikitajwa sana kama filamu bora zaidi, kuiangalia nikaona ya kawaida tu, even boring.

Kusoma zaidi kumbe kuna mambo kibao ya cinematography ambayo mie kama mtazamaji wa kawaida sikuona muhimu.
 
Mie nilisikia Citizen Kane ikitajwa sana kama filamu bora zaidi, kuiangalia nikaona ya kawaida tu, even boring.

Niliangalia hii filamu pia sikuvutiwa nayo. Zile flashbacks ndo kabisa zilikuwa zinanipoteza.

Wanadai kuwa Citizen Kane haikuwa popular ilipokuwa released. Hata pesa haikurudi.

Citizen Kane imepata umaarufu baada critics maarufu kama Jean-Paul Sarte kuiandikia.
 
Watched and liked it wala sikuona kama ni boring (hizi movies za zamani dialogue yake inaweza ikakuweka attentive) as well as the mystery behind kutaka kujua ni nini jamaa alisema in his deathbed.., I think its an okay movie and calling it boring its rather an overstatement
 
By whose standards?

These things are very subjective. Calling another's subjective view an "overstatement" is the "overstatement" here.
 
nimesikia ni true story ndo maana nikawa more curious...
Nakumbuka kusoma kitabu cha Lawlence of arabia kipindi niko form two,story ilishanitoka lakini inaelezea story ya mzungu mmoja aliekua huko uarabuni akawa maarufu sana kiasi cha kuitwa lawrence of arabia.kipindi cha kuelekea vita vya pili vya dunia alifanya urafiki na watawala wa uarabuni kama king wa saudi,jordan etc .kumbe alikua on mission.Ndiye alipelekea mikataba ilifanya uwepo wa taifa la israel hapo baada ya kuwaingiza kingi waarabu wasaini mikataba fulani jina limenitoka. Walioiona karibuni hiyo picha wanaweza kunikosoa.
 
By whose standards?

These things are very subjective. Calling another's subjective view an "overstatement" is the "overstatement" here.

By Boring Standards...

Calling a medium height person short or tall can be okay.., but calling a tall person or short is misleading.., Boring movie is slow paced and does not give you anything to keep on watching.., but this movies starts with a mystery which makes viewers to keep on watching in order to find whats the mystery about.. (and that ain't boring).., I know you can say this is not for me or I did not like it but labeling it to something which its not its rather making a mountain out of a mole hill
 
Your "boring standards" are boring.

Unatumia kigezo gani kilicho empirical? Useme kwamba on the boring meter this movie is here and that is there?

Isije kuwa unatupa personal bias kama "standards", that would be more boring than boring standards, that would be no standard at all.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom