Nafikiri hata mtu kusema this is one of the greatest movie inaweza kuwa subjective pia.
Ofcourse lakini ukisema Michael Jackson had talent wengi watakusikiliza ingawa wapo (kama wapo watakaobisha) lakini ukisema Milli Vanilli had talent walikuwa na talent watu watakuona kichaa au unatania..
Kwa mfano, kuna mtu nabishana nae kila mara ipi ni greatest gangster film ever made.
Yeye anasema kwa kwake ni The Godfather II, lakini kwangu naona ni Goodfellas.
Mkuu mtu anayekunywa wine huwezi kuanza kusifia Dompo iliyotengenezwa juzi ni better than wine maybe ambayo imesha-age from 1940s..... My point being ukija kwenye Gangster Movies Godfather iliset the bar.., movies nyingine nyingi huwa zinaiga ua kujaribu kuimitate.., just image movie was done in the 70s lakini ukiangalia hata jana unaweza kuamini ilitengenezwa juzi..., yaani Great Actors (bila kumsahau Marlon Brando, Al Pacino, Andy Garcia.. n.k.) Good Story as well as kazi nzuri ya Francis Cuppolla.., naweza kuelewa mtu kupenda mfano story ya kwenye Carlitos Way kuliko Godfather.., au kupenda the Siccillian kuliko Godfather, lakini tukija kwenye ubora.., very few Trillilogies zinaweza ku-compete na Godfather..
Taelewa mtu asiyependa Lord of the Rings au Starwars lakini kwenda a step further na kusema ni mbaya kwakweli atakuwa hatendie haki creativity ya watu...
Sijawahi kuangalia any of The Godfather films mpaka mwisho because baada ya dakika kadhaa huwa zinaniboa.
Set a day aside na uangalia peke yako na follow the dialogue na story..., mimi mwanzo wa kuangalia the Bodyguard nilikuwa na watu wanaopenda movie za kupigana walikuwa wanalalamika mwanzo mwisho lakini siku moja nilikosa cha kuangalia na kurudia and I found it was an Okay movie.., kwangu mimi naona overrated movies ni kama Titanic na Gangs of Newyork, ingawa kusema ni mbaya takuwa nimekosea.
But to others ukiikandia The Godfather unaweza kudhaniwa kuwa ni punguani.
In the world of gangster movies watu hawatakuelewa mkuu.., what is lacking.. ?, Story, Actors au Cinematography.., bila kusahau one liners ambazo zinatumika kwenye nyanya nyingi za movies kwa sasa.., ni sawa sawa na watu kutoipa the Matrix Kudos zake kwa kutuletea zile fightings watu wanapigana alafu inaweka slow motion hewani hewani.. (that was ground breaking mkuu )
I am sure mwingine atakuambia Pulp Fiction or Scarface is the greatest one.
Pulp Fiction bila u-genius wa Samuel Jackson isingependwa kama inavyopendwa (ingawa nadhani kwenye kazi zake the Negotiator is better) ila tukija kwenye Gangster movies hizi ni just a segments ya mambo ambayo yapo kwenye Godfather (its so much more..) unless you like your movies straight forward with a lot of killing and swearing.
Na mwingine anaweza kukuambia ni The Departed, japokuwa another may question whether it is a gangster film in the first place.
Kwahio mkuu it depends na mapenzi ya mtu.., ni sawa sawa mtu anayependa musical aseme kwamba Singing in the Rain ni mbaya (atakuwa hapendi musical au aliangalia akiwa na usingizi..)
In short hata kama hupendi latin girls ni vigumu kusema J. Lo anasura mbaya..., au kama unaangalia movie za kihindi kusema Andhaa Kanoon ni mbaya I think you get my drift...
Lakini neno Greatest huwezi na ni vigumu sababu watu walipenda kuangalia Rambo enzi zile ile kijana wa leo ukimletea Rambo atakuona unamtania (movies za misimu zinachuja..) lakini a good story Never..., au ukiangalia western movies lazima uangalia in history context (the days of gun slinging and riding horses..)