Lawrence Masha mmiliki wa ECO PROTECTION TANZANIA LTD | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lawrence Masha mmiliki wa ECO PROTECTION TANZANIA LTD

Discussion in 'Celebrities Forum' started by NNYAMBALA, Jun 21, 2011.

 1. N

  NNYAMBALA Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yule Jamaa aliyewahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani ni Mkurugenzi wa ECO na Mimi sijui hiyo ECO inafanya kazi gani au ameanzisha Ofisi ya Ulinzi?
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  eco ni ofisi maalum kwa wale wabunge tu waliojitangaza kushinda kabla ya uchaguzi kufanyika halafu hawakuwa
  wabunge baada ya wananchi kuwapiga chini.
   
 3. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  labda chama cha siasa
   
 4. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  !!!!!??????????
   
 5. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kama ndivyo hivyo amkaribishe na Bashe.
   
 6. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hata mimi nilimuona jana kwnye luninga, jamaa hana aibu yule aisee. ingekuwa mimi nachapa lapa mamtoni maana magwanda wakishika nchi lazima wam''daniel yona.
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,594
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  Masha murugnzi eco ndiyo nini?
   
 8. Ikumbilo

  Ikumbilo JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijaelewa jamaa anamaanisha nini. Pengine labda alitaka isomeke hivi, Masha Mkurugenzi ECO
   
 9. N

  NNYAMBALA Member

  #9
  Jun 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona Wenzio wameelewa, hayo ni mkosa ya uchapaji.
   
 10. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Eco au ni hii bank inayoitwa ECO bank,?

  Mwenyewe taarifa atujuze zaidi.
   
 11. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  That comes closest to the reality.
   
 12. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kweli kufa kufaana neema imemuangungukia aliyekuwa mbunge wa mwanza L. Masha
  baada ya kupata tenda ya kubeba taka katika jiji la Dar es salaam. Kama wewe ni mkazi wa
  dar utakuwa umeyaona haya magari yakibeba taka kube mmiliki wake ni L masha


  [​IMG]
   
 14. R

  Real Masai Senior Member

  #14
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wajameni kama nd hivyo bc sie wadogo hatuna chetu...tenda yeyote ya gvt mpaka ujulikane,da makweli, alianza kingunge na std ubungo, ss uchafu masha, amakweli tumeliwa--Ila hizo ni fadhila za kukosa ubunge amaaaaaa
   
 15. U

  Ugweno Member

  #15
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muhimu ni ubora wa huduma,bila kujali nani mnmiliki wa hii kampuni haya ndio magari ya takataka tunayotaka kuyaona kote Tanzania. Tunapambana na mfumo unaodidimiza maendeleo na sio mtu!Kwangu mtu akija na magari kama haya wala haitaji kushindanishwa ni kumpa maeneo na kusimamia kazi inafanyika!
   
 16. Ben Mugashe

  Ben Mugashe Verified User

  #16
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 939
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Kama yake basi amesaidia sana mitaaa yetu michafu inayonuka!!! Tusiwe negative kwa kila kitu jamani!
   
 17. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Pamoja na hayo...je alishinda tenda au ndio yaleyale ya UBT kwa Kingunge?
   
 18. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya magari siyo miongoni mwa yale magari 200 ambayo inasemekana RZ1 aliingiza nchini???? Hata kama ni hivyo sidhani kama kweli anampango wa kupeleka magari kama hayo kwa wakazi wa Jiji la Mwanza.
   
 19. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Jambo jema kabisa labda mnuko utapunguwa Dar.
   
 20. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ni mmoja wa wenye hisa katika hiyo kampuni.
   
Loading...