uliapply iyo tender ukakosa?
Jambo jema kabisa labda mnuko utapunguwa Dar.
kweli kufa kufaana neema imemuangungukia aliyekuwa mbunge wa mwanza l. Masha
baada ya kupata tenda ya kubeba taka katika jiji la dar es salaam. Kama wewe ni mkazi wa
dar utakuwa umeyaona haya magari yakibeba taka kube mmiliki wake ni l masha
hoja si kuwa negative bali ushirikiswaji wa jamii na masilahi yao ili kupata huduma , je yalizingatiwa?au ni nguvu ya pazia kulinda masilahi fulani mwisho inakuwa kampuni ya uda kuuzwa na ubungo termila kupewa kingunge.Huduma hakuna ambaye haitaki bali, je taratibi na misngi ya kulinda masilahi ya ummma ilizingatiwa?Muhimu ni ubora wa huduma,bila kujali nani mnmiliki wa hii kampuni haya ndio magari ya takataka tunayotaka kuyaona kote Tanzania. Tunapambana na mfumo unaodidimiza maendeleo na sio mtu!Kwangu mtu akija na magari kama haya wala haitaji kushindanishwa ni kumpa maeneo na kusimamia kazi inafanyika!
Una maana gani? kunasehemu nimesema nimeapply tender? acha kubwabwajuka
hoja si kuwa negative bali ushirikiswaji wa jamii na masilahi yao ili kupata huduma , je yalizingatiwa?au ni nguvu ya pazia kulinda masilahi fulani mwisho inakuwa kampuni ya uda kuuzwa na ubungo termila kupewa kingunge.Huduma hakuna ambaye haitaki bali, je taratibi na misngi ya kulinda masilahi ya ummma ilizingatiwa?
ya kuzoa uchafu jijini? Au ni wivu tu? Huna gari huna kampuni huna zana yeyote mwenye uwezo kapewa kazi wewe unabwabwaja tu watz banauna maana gani? Kunasehemu nimesema nimeapply tender? Acha kubwabwajuka
heri mimi nina matatizo wewe una shidaachana nae huyo mtoto anataka kutuharibia week end yetu kwa kupigwa ban... Kana matatizo hako ................
Hawa jamaa magari yao ni bomba sana! Je hawezi kujitanua na sehemu nyingine za Dar? Hatumchukii mtu kama bali matendo mabaya ya mtu ndiyo yanayotupelekea kumchukia mpaka mwenyewe. Kama akifanya kitu kizuri kwanini tusimpe sifa zake. Big up Masha, kwa hili tupo pamoja Mkuu. Na kama unaweza kufikiria na maeneo mengine ya uwekezaji yenye upungufu, karibu sana utusaidie nduguzo.
heri mimi nina matatizo wewe una shida
uliapply ukakosa iyo tender ? Alipata kihalali na ndo maana yupo barabaranibig up kwa kazi nzuri sawa, lakini swali alipata hiyo tenda kiuhalali? Mwenye taarifa kamili tunaomba atujuze kidogo ili tujilizishe.
wabongo wana majelous ya kishamba bwana njoo huku tule wkend banabebii vipi tena? Its friday, which point ma bebii?
umeona babu wabongo tuna majelous ya kishamba kweli yaani,mtu hata kadustbin ka kukusanyia uchafu home kwake tu hana ila analalamika hapawe unaweza kuta hata toroli huna,alafu unalalama kwanini masha kapewa hiyo tenda,wakati we hata vifaa huna.
Pamoja na hayo...je alishinda tenda au ndio yaleyale ya UBT kwa Kingunge?
Tunge apply vipi, kwani tenda ilitangazwa?uliapply iyo tender ukakosa?