Kikwete ni rais mstaafu, hana jeshi wala hamiliki kikundi cha kigaidi. Kwann analalamikiwa kuhusu mwenendo wa uongozi wa nchi? Lawama anazopewa Kikwete anastahili ama ni chuki binafsi toka kwa wabaya wake?
Rais aliyeko madarakani analazimika kufuata maagizo ama ushauri wa Kikwete? Kama jibu ni HAPANA, kwann asilaumiwe anayepokea ushauri ama maagizo haramu toka kwa Kikwete?
Hizi lawama anazopewa Kikwete kila mahali, nje na ndani ya chama chake chanzo chake ni nini?
Na je, tuko tayari kuona Kikwete analibananga taifa kwa maslahi yake? Hadhibitiki mtu huyu?
Tusijekuwa tunachezeshwa ngoma tusiyoijua!!