Lau Masha Live on Magic FM 92.9 akihojiwa na Fina Mango

Mbona ugomvi wa mzee Masha na Nyerere si siri? Hawa walikuwa wanafanya njama za uasi ndani ya TANU na Mwalimu akawafukuzilia mbali kwa misingi kuwa kama huwezi kutoa maoni yako ndani ya vikao kwa nini uende nje uanze kuandaa uasi wa maamuzi yaliyokwishapitishwa?

Lau alikuwa anahojiwa akasema Mwanae alimuuliza kwanini Nchi hii haina Vitabu vinavyoelezea historia ya Viongozi wake

Kama South Africa ? Wanae wanasome South Africa... hawakupata hivyo vitabu Dar; lakini Mzee Fortunatus ana Ph.D

Yeye ni Mwanasiasa pia Anapaswa kuandika kitabu na pia agusia sababu ya yeye kuondoka Tanganyika itakawa vizuri

Wajukuu zake watafurahi kuvisoma...
 
Vitabu vya historia ya Tanganyika na harakati za uhuru vipo. Ila vingi vilichapishwa Ulaya na wchapishaji wetu hawajafanya jitihada za kutosha kuhakikisha kuwa vinapatikana Tanzania. Kwa mfano vitabu vyote alivyoandika Mwalimu vilichapishwa na Oxford Press. Utapata shida kuvipata Dar-es-Salaam wakati vinapatikana kwa urahisi London na Washington D.C
 
Back
Top Bottom