Lau Masha apagawa na wezere la Abby

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
DSC_7484.JPG

fiesta si mchezo kudadadadeki....wakati wengine wakiangalia stage lau masha alikuwa akila kozi wezere la totozi abby...
 
watu wanaangalia jukwaa..masha peke yake anaangalita TOTO lililoumbika! mke wa masha yupo humu JF?? kama yupo nae atoe comment.
 
Huyu Demu ni ABBy alishiriki Big Brother Africa! alikuwa anachukuliwa na Gaitano kutoka uganda! Mwisho mwampamba alikuna NAZI sana kwa huyu demu lakini Gaitano alicheka na NYAVU.
 
watu wanaangalia jukwaa..masha peke yake anaangalita TOTO lililoumbika! mke wa masha yupo humu JF?? kama yupo nae atoe comment.
arifu sometimes tusimlaumu lau...aisee totozi anga hizo huwa zinakuwa zinatega si kitoto.....hili totozi nalo si mchezo sema baada ya kuzaa akafifia..ila enzi zake BBA linakanyagwa na Gaitano aiseeee.....
 
Huyu Demu ni ABBy alishiriki Big Brother Africa! alikuwa anachukuliwa na Gaitano kutoka uganda! Mwisho mwampamba alikuna NAZI sana kwa huyu demu lakini Gaitano alicheka na NYAVU.
brotheer gaetano aisee alikula mashine hii...tena kavu kavu dadadadeki.....
bba-gae-and-abby.jpg
 
arifu sometimes tusimlaumu lau...aisee totozi anga hizo huwa zinakuwa zinatega si kitoto.....hili totozi nalo si mchezo sema baada ya kuzaa akafifia..ila enzi zake BBA linakanyagwa na Gaitano aiseeee.....

ukiwa nae karibu hata ufanyeje lazima shingo ibadili mwelekeo..............!:tongue:
 
DSC_7484.JPG

fiesta si mchezo kudadadadeki....wakati wengine wakiangalia stage lau masha alikuwa akila kozi wezere la totozi abby...

Mkuu itifaki izingatiwe. huyu alikua waziri wa mambo ya ndani wa kikwete. mia
 
Ex-minister wa Nyerere asingeenda kwenye disco la Rick Ross!

Kama mkweree anapenda kucheza ngoma za kienyeji kama vile KIDUKU, huyu msukuma kwanini asipende disco?? Genge lao wana interest sawa ya UFUSKA!
 
Lau msukuma, na wasukuma+nyamwezi ni wagonjwa sana vimwana weupe.....

hapo nilipobold naona bado unafikiri ki-zamaniiii...sikuhizi hawapendi hata kuwaona thats y tey leads in killing white guyz and girls starting with albinos.
 
Back
Top Bottom