Lau Masha apagawa na wezere la Abby

arifu sometimes tusimlaumu lau...aisee totozi anga hizo huwa zinakuwa zinatega si kitoto.....hili totozi nalo si mchezo sema baada ya kuzaa akafifia..ila enzi zake BBA linakanyagwa na Gaitano aiseeee.....

Mpwa Yule William alikuja na Sintah ama amefulia?
 
Back
Top Bottom