MAPINDUZI75
Member
- Feb 5, 2011
- 47
- 10
Nimependa idea hii,
tatizo langu hatujuani hata hapo dar mnakutania wapi? Nataka ku join nanyi
tatizo langu hatujuani hata hapo dar mnakutania wapi? Nataka ku join nanyi
Linapokuja swala la kuwekeza hua sichelewi sana kuingia na kucheza hiyo ngoma.Mawazo yangu ni haya, kuna fursa nyingi ktk kilimo na mitaji yake sio mikubwa sana,tunaweza vamia pori kubwa bila kununua na tukaanzisha kijiji cha mifugo, mipori iko mingi sana haina wenyewe. Wazo la pili, ninalirudia, twende ktk miji midogo inayokuwa ( Kimanzi/Chalinze/segera nk) tupate eneo kubwa na kulifanya service center, silaha yetu kubwa iwe huduma bora kwa wateja. Naamini inaweza kuwa nembo ya mji huo kwa huduma zetu.
Tumejaribu ktk project ya misitu na tumefanikiwa sana, sasa hivi tunaendelea na uwekezaji ktk shamba dogo la kuku, ardhi tunayo tayari na jengo la kuanzia lipo, hatujaanza na jogoo kama alivyoanza NM bali tumeanza na tetea nane kwa kuwatoa huku huku pwani na jogoo wa jirani.
wakuu
ngoja nitoe dokezo la market potential ya product ya hii project yaani commercial goat meat ranch au raising of goat meat
katika jiji la dar kuna tafrija, sherehe za harusi, sherehe za dini mbali mbali, graduations, birtdays na nyingine nyingi za kifamilia na hata kijamii matukio yote haya hitaji lake mojawapo ni nyama ya mbuzi kwa matumizi, mara nyingi mbuzi huchukuliwa akiwa hai na kutayarishiwa sehemu husika ya tukio, hivyo utaona upatikanaji wa mbuzi hai hutegemea sana sana vingunguti na baadhi ya wafugaji wadogo wadogo sana, hivyo basi hawa ndiyo target market ya kwanza
another target market segment will be dar es salaam bars that sells barberque goat meat (mbuzi choma) and soups
ukiangalia hali halisi ya vingunguti haikidhi market segment niliyoitaja, kwanza eneo lake lipo bila pmangilio, utaratibu wa manunuzi ni mbovu, security ya wateja ni ndogo,hali ya usafi katika soko ni mbaya kubwa zaidi ni mbuzi wa vingunguti hwana ubora, mbuzi hawa hutolewa mikoani wakiwa wanunuliwa kwenye minada na magulio, kwa utafiti wa kawaida mbuzi wengi kwenye minada huuzwa na wafugaji kwa kulenga sababu husika, wengi ni wale wasio na afya na hata wenye matatizo kiafya, mbuzi hawa husafirishwa hata kwa umbali mkubwa sana kwa kutembea hivyo huchoka na kupoteza afya, mbaya zaidi wakifika dar hufungiwa muda mrefu bila matunzo mazuri, risk ya magonjwa kwa mbuzi hawa pia haikwepeki
therefore there is a need for a source of good and healthy meat goats
keep in mind in future the project will diversify its market segments to supermarkets, hotels and meat butcheries
Mlachake,LAT,Malila,Voice of Reason,
hizi character/Personalities huwa zinanipa Raha sana moyoni kwangu na smiles Lukuki ,Ubavu wangu huwa anielewi na kuniona chizi nikismile mbele ya laptop.Amesema weee ,amelalamika wee amechoka ,kwani JF ni zaidi ya uijuavyo. huwa nasoma hizi Thread usiku nikifika home, nikiwa nakaribia kulala.
Hawa watu kichwani kwangu nimewa Class hivi:
LAT - Action Plan(JE)
Malila- Implementation(you Can Always Count on this Guy)
Voice of Reason - Critical Anaylisis
Mlachake- Ideas Tu(yeye Anakula Vyake- Avatar yako huwa haifichi)
New Mzalendo - Mh.hapa mnaonijua mnajua( sometimes i think i am all of the above)
TAFADHALI NAMI NIPO KTK MRADI WA MBUZI FARM. (MEMBER No.5)
Mkuranga kuna Ardhi. 55Km from City center. 14Km from Mkuranga Center(NMB Bank).ntaleta Satelite location
NinaArdhi nzuri tu.mkikagua na kuonekana inafaa. nitakodisha mradi kwa MIAKA 10. kwa Kodi ya Dola 5/acre kwa mwaka,kwa Rent Increment of 15% kila mwaka.
Narudia Dola TANO 5USD /year.
Nipo Tayari kukodisha 10Acres
Nimependa idea hii,
tatizo langu hatujuani hata hapo dar mnakutania wapi? Nataka ku join nanyi
Mkuu Mbegu Bora huanza na Jogoo,nashauri mchukue kuchi ,mimi nitakuja kuchukua mayai.
Umedokeza Segeara,hivi bei ya Ardhi kwa heka ni kiasi gani kwa sasa,kwani kila nikipita Segera huwa napatapani. utadhani Las Vegas ilipokuwa ikianzishwa Flamingo Casino.
mkuu karibu ktk vikao vya JE Saccos
Nami nimo,
What to do then??!!!
Mlachake,LAT,Malila,Voice of Reason,
hizi character/Personalities huwa zinanipa Raha sana moyoni kwangu na smiles Lukuki ,Ubavu wangu huwa anielewi na kuniona chizi nikismile mbele ya laptop.Amesema weee ,amelalamika wee amechoka ,kwani JF ni zaidi ya uijuavyo. huwa nasoma hizi Thread usiku nikifika home, nikiwa nakaribia kulala.
Hawa watu kichwani kwangu nimewa Class hivi:
LAT - Action Plan(JE)
Malila- Implementation(you Can Always Count on this Guy)
Voice of Reason - Critical Anaylisis
Mlachake- Ideas Tu(yeye Anakula Vyake- Avatar yako huwa haifichi)
New Mzalendo - Mh.hapa mnaonijua mnajua( sometimes i think i am all of the above)
TAFADHALI NAMI NIPO KTK MRADI WA MBUZI FARM. (MEMBER No.5)
Mkuranga kuna Ardhi. 55Km from City center. 14Km from Mkuranga Center(NMB Bank).ntaleta Satelite location
NinaArdhi nzuri tu.mkikagua na kuonekana inafaa. nitakodisha mradi kwa MIAKA 10. kwa Kodi ya Dola 5/acre kwa mwaka,kwa Rent Increment of 15% kila mwaka.
Narudia Dola TANO 5USD /year.
Nipo Tayari kukodisha 10Acres
Kuna njia hii nzuri sana inaweza kutusaidia,
kiingillio kiwe ni kila mmoja wetu kununua eka moja ya ardhi mahali tutakapokuwa tumepata, kwa hiyo kama tutapata eka moja kwa laki tatu,kila mjumbe atatoa 330,000/, hii 30,000/ ni ten percent ya kijiji husika.
Nimetoa bei hizi kama tutanunua ardhi ya kijiji huko Msorwa au Shungu pale Mkuranga. Ni kilomita 16 toka Mkuranga wilayani njia ya Kisiju. Eneo laweza kupanuka mpaka eka 1000, lina maji ya kutosha mwaka mzima, udongo ni wa kichanga na baadhi ya maeneo ni mweusi, pale Shungu ni udongo mweusi na pana kijito cha mwaka mzima(Manundu/Kasopa walishafika).
Usafiri upo wa daladala toka Mbagala mpaka huko. Ni mapori yasiyo na watu wanaoishi pamoja, mpaka sasa usalama wa mifugo ni mkubwa kwa sababu kuna jamaa wachache wana mifugo hapo karibu. Tunaweza kupata mbuzi toka Ikwiriri, visiwa vya Pombwe au kisiwa cha Kruti. Kisiwa cha Kruti kipo karibu zaidi kuliko Pombwe.Muhoro/Somanga kuna mbuzi wa kutosha na usafiri kwa sasa ni mzuri.
Kwa sasa nina uhakika na Nm, LAT,VOR,Shark, Mapinduzi, Zion Train, Kasopa,Mihayo,dada mmoja( kani-PM), mimi, sijui shemeji yangu Manundu kama atatia timu au la, nina hakika tunaweza kuanza bila kuchelewa.
Mawazo yangu, ni kwamba, ni vizuri mbuzi wa kwanza wafike pale kabla ya masika.
Poa wakuu tufanye cost breakdown ya hizo hekari na mabanda ya mwanzo kama ni fence au nini ili tujue vizuri....
Katika pita pita zangu pia nimeona hii (Raising Goats for Meat)
http://extension.umd.edu/publications/PDFs/FS816.pdf
This might be the begging of something good
Tena kama ardhi ni kubwa tunaweza tukawa tunatenga maeneo ya free grazing mbuzi wanakula hapa wakati pale majani yanaota alafu pale tena by the time hapa wameshamaliza kula pale pa mwanzo yameshaota tena hususan kama ardhi ni bei raisi