LAT, Voice of a Reason, Malila, Ameoba na wengine wengi...

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,393
4,455
Ninajua moja ya Sheria za JF ni ''No name calling'' Naombeni mods mniwie Radhi.

Katika jukwaa hili la Biashara tuna wachangiaji wengi na wazuri sana,

Wachangiaji wasiopenda kuleta Mzaha kwenye mambo ya maana, and There are people with very constructive Ideas.

Nimepata bahati ya kupitia ile Idea ya JE Saccos and its a marvelous Idea. Na Ningependelea Tuisupport ile Idea kwa nguvu zetu zote. Just think how many times you spent 50,000 in a Bar for a Single day. just take this amount to JE saccos and and Just forget about it, the way you forget it after spending on Beers.

I just have an Idea Closely connected to That.

Hivi haiwezekani tukajikusanya kama Members 50. with a fixed contribution of 5,000,000.

This will bring in a total of 250,000,000.

Hapa tunaweza sajili kampuni tunaingia Mzigoni- Au Tunaweza hata kujenga a small and classic guest house mkoani au Dar Depending on this raised Capital

What do you say Guys.
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,195
1,332

Kweli kabisa mkuu investment ni muhimu sana na ikisimamiwa vizuri ni mtaji tosha wa kujiendesha sababu tofauti na kukopa na kuweka tu, inakuwa zaidi ya hilo, yaani kuweka, kuinvest na kuzalisha.., wazo zuri sana mkuu, pia hata tunaweza kuanzisha a cooperation fulani hata kama ni ya ufugaji kwa kuweka nguvu pamoja ni kwamba kuzalisha kutakuwa kwingi na uwezo wa kupata soko ni mkubwa..., alafu sababu kila mtu atakuwa ametoa pesa ndogo ni kwamba hata risk itakuwa sio kubwa kama mtu mmoja akitoa hizo zote

"Alone we can do so little together we can do so much...."
 
LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,403
1,297
mkuu ... you have inspired me, very good idea

with a good business plan of a viable investment i have no doubt on this and i support the move,

below my signature have said it all "Esprit de corps" meaning in unity there is thrength

mkuu huu unaweza ukawa ushirikiano mzuri sana, with that amount we can start any product of the food processing industry and our customers are ready everywhere starting from jf members

to turn that into reality we need now to suggest the best viable businesss and a business that have fertile returns

i support this marvelous idea 100%

its high time for feasibility , and devotion is highly needed to unite
 
Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
931
Wakuu, nakubaliana na nyinyi asilimia mia moja. Cha muhimu ni kufahamu wanadamu wengi ni waoga wa kutake risk, ndio maana kuna Bakhresa na kuna waajiriwa kibao. The difference among the two is risk taking, in risk taking there is a reward and punishment for non-calculated risk. Sasa baada ya kusema hayo, the best way ni kutengeneza share portfolio. Hakuna haja ya kuweka complicated model ya kudetermine share price at the moment. Hii share ndio zita determine 10% ya dividend payout once the business is on running.

Tupo wachache ambo we believe kabisa kwamba Tanzania is a virgin market, and if you have business idea and executable strategy then you will enjoy the double digit return for sometime.

Hivyo ndugu zanguni, tengenezeni model ya price per share, business plan and last let those with guts acquire the shares. It's time to put all this things into plan. I agree na LAT manufacture or food process is the way to go. That is a starting point, what misses is what to process? What is needed. Na mambo kama hayo yatajidiliwa pembeni sababu you cant run business with 100 people ideas.
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,607
5,966
Kweli kabisa mkuu investment ni muhimu sana na ikisimamiwa vizuri ni mtaji tosha wa kujiendesha sababu tofauti na kukopa na kuweka tu, inakuwa zaidi ya hilo, yaani kuweka, kuinvest na kuzalisha.., wazo zuri sana mkuu, pia hata tunaweza kuanzisha a cooperation fulani hata kama ni ya ufugaji kwa kuweka nguvu pamoja ni kwamba kuzalisha kutakuwa kwingi na uwezo wa kupata soko ni mkubwa..., alafu sababu kila mtu atakuwa ametoa pesa ndogo ni kwamba hata risk itakuwa sio kubwa kama mtu mmoja akitoa hizo zote

"Alone we can do so little together we can do so much...."
Halafu mkuu mbona sijakuona JE SACCOS
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,607
5,966
Ninajua moja ya Sheria za JF ni ''No name calling'' Naombeni mods mniwie Radhi.

Katika jukwaa hili la Biashara tuna wachangiaji wengi na wazuri sana,

Wachangiaji wasiopenda kuleta Mzaha kwenye mambo ya maana, and There are people with very constructive Ideas.

Nimepata bahati ya kupitia ile Idea ya JE Saccos and its a marvelous Idea. Na Ningependelea Tuisupport ile Idea kwa nguvu zetu zote. Just think how many times you spent 50,000 in a Bar for a Single day. just take this amount to JE saccos and and Just forget about it, the way you forget it after spending on Beers.

I just have an Idea Closely connected to That.

Hivi haiwezekani tukajikusanya kama Members 50. with a fixed contribution of 5,000,000.

This will bring in a total of 250,000,000.

Hapa tunaweza sajili kampuni tunaingia Mzigoni- Au Tunaweza hata kujenga a small and classic guest house mkoani au Dar Depending on this raised Capital

What do you say Guys.
Mkuu we have just started and this is the beginning more and more things and projects to follow up, hiyo ya kwako naitafakari unahitaji kweli kupata 50 members wenye guts za ku-chip in that amount
 
Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,581
5,337
People, count me in... Nikiona business plan inayo eleweka I will come in too... Sijajua hela nitatoa wapi ila nitapata tu.
I like the concept ila tatizo ni moja tu: sijui hiyo business ni ya nini na nani atakae manage. But I am confident we will work on that, sio?
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,195
1,332
Mkuu we have just started and this is the beginning more and more things and projects to follow up, hiyo ya kwako naitafakari unahitaji kweli kupata 50 members wenye guts za ku-chip in that amount

its just a big obstacle

Ni kweli that amount huenda ikawa kubwa kwa watu wengi lakini kuna njia nyingine labda kuanza na mtaji mdogo zaidi na kupata investment ambayo itafanywa collateral ya kuweza kupata mtaji mkubwa zaidi..,

Vile vile sababu ni watu kama 50 ni kwamba risk inapungua sana badala ya mtu mmoja kutoa kiasi kikubwa anatoa kidogo.., (ila nashauri badala ya kuanza na biashara ya mtaji mkubwa uwezekano upo wa kutest the water kwa kuanza kidogo kidogo na kukua kadri muda unavyokwenda)

Pia baada ya kukua na kupata investment nyingi inakuwa rahisi kuanzisha investments nyingine kwa kutumia investments zetu kukopea pesa instead ya kutoa kwenye mifuko yetu...

Kinachotakiwa na investment ambayo haiitaji uangalizi mkubwa sana na sio ngumu ya kuweka watu kusimamia
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,607
5,966
People, count me in... Nikiona business plan inayo eleweka I will come in too... Sijajua hela nitatoa wapi ila nitapata tu.
I like the concept ila tatizo ni moja tu: sijui hiyo business ni ya nini na nani atakae manage. But I am confident we will work on that, sio?
I usually like to tell people that the business goes through 3 phases Vision, Patience and Execution
 
Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,393
4,455
Ni kweli that amount huenda ikawa kubwa kwa watu wengi lakini kuna njia nyingine labda kuanza na mtaji mdogo zaidi na kupata investment ambayo itafanywa collateral ya kuweza kupata mtaji mkubwa zaidi..,

Vile vile sababu ni watu kama 50 ni kwamba risk inapungua sana badala ya mtu mmoja kutoa kiasi kikubwa anatoa kidogo.., (ila nashauri badala ya kuanza na biashara ya mtaji mkubwa uwezekano upo wa kutest the water kwa kuanza kidogo kidogo na kukua kadri muda unavyokwenda)

Pia baada ya kukua na kupata investment nyingi inakuwa rahisi kuanzisha investments nyingine kwa kutumia investments zetu kukopea pesa instead ya kutoa kwenye mifuko yetu...

Kinachotakiwa na investment ambayo haiitaji uangalizi mkubwa sana na sio ngumu ya kuweka watu kusimamia

Tunaweza kufanya biashara gani? na huo mtaji kidogo unaweza kuwa kiasi gani?
 
The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,607
5,966
Tunaweza kufanya biashara gani? na huo mtaji kidogo unaweza kuwa kiasi gani?
Mkuu nafikiri the best solution for me and what i can advice kwa watu waliopo Dar tunaweza kuamua we meet one day and we brain storm naamini kila mtu ana different ideas by sharing and having discussion one on one itasaidia zaidi ku-generate more new ideas and you never know what where we might end up that's how we started with JE Saccos and look where we are right now
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,195
1,332
Tunaweza kufanya biashara gani? na huo mtaji kidogo unaweza kuwa kiasi gani?

Nadhani itakuwa vema kama tukianza kuangalia soko kwanza..., alafu tukarudi nyuma ni nini cha kufanya kuweza kukidhi hilo soko..,

Ulisema kuhusu Bar lakini binafsi ninavyojua ni kwamba hii biashara uangalizi mzuri ili watu waweze kuja na kurudi kila siku lakini kama wadau kama tayari huwa mnaenda kwenye Bar za jamaa wengine kila siku (basi inaonyesha kwamba soko lipo).

Pia kuna issue kama ufugaji tofauti tofauti (hili soko lipo ingawa kuweza ku-compete vizuri inabidi kuwe na constant supply ya kuweza kuongea na mahoteli makubwa..) na kwa hili tunaweza tukapata waangalizi as well as a vet wa kushauri na kuangalia mifugo..

Raw materials ni nyingi sana bongo (ila zinahitaji kuongezewa value..) yaani packaging nzuri hapo unaweza kupeleka hata nchi za nje (mfano niliona kuna soko zuri sana la miguu ya kuku china) ukiangalia hapa bongo watu wengine wanatupa hii miguu

Kwahiyo mkuu the list is endless cha maana ni kuanza na kitu kimoja cha kuongeza mtaji baada ya hapo hatukatazwi kuingia kwenye biashara nyingi as possible so long as kuna profit..., lakini nadhani nzuri ya kuanzia ni zile zenye risk ndogo na haziitaji learning curve kubwa baada ya hapo hata zile ngumu na zenye learning curve hakuna neno (sababu tunaweza hata kuajiri expert kusimamia)

Na kumbuka ugumu wa kufanya kazi fulani inamaanisha kwamba hata competition itakuwa ndogo (ni jinsi tu ya kuweza kuifanya hio kazi kwa urahisi) na advantage tutakayokuwa nayo hapa ni wingi wetu; hivyo basi kuliko kuangalia tu soko la bongo ni bora kuangalia masoko ya nje ya nchi na kuangalia hata vitu kama viungo ambavyo mfano kwenye ulimaji ndio vina profit zaidi.., kama tunaweza kuvipata na kusupply nje.

Mfano kuna siku nilikuwa ninafanya research kuhusu ni nini ni very profitable kuweza kulima na kuuza nikaona list kama hii hapa chini..., hivyo basi kama tunaweza tukapa hivi vitu na kuweza kuvipack vizuri na kuvituma nje ni soko zuri ambalo tutakuwa tumepata

http://ezinearticles.com/?Ten-Most-Profitable-Herbs-to-Grow&id=3438303

Kwahiyo mkuu hakuna kinachoshindikana chochote ambacho tunaweza kuweka nguvu zetu na kukifanya mwisho wa siku kina faida its just doing it well enough (ila ni bora tuangalie soko mpaka la nje..)

Kuanza tunaweza kuanzia popote ila tuangalie soko kwanza ili tuweze kufanya Opportunity Cost
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Top Bottom