Large Computer/Technology forum..!!!

Large Computer/Technology forum..!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,
Katika pita pita zangu nimekutana na hawa jamaa wa Bleeping computers ambao wapo located states kwa kweli wanaforum kubwa sana na mambo yoote kuhusu computer yapo tena yana vi-subforum vyake adi raha na pia unaweza kupost na kuuliza chochote na kujibiwa na watalaam mbali mbali kutoka sehemu mbali mbali duniani. Na wa encourage wakuu wenzangu wa tech. Tujaribia kupitia tuweze kujifunza ka kitu flani ka tofauti kidogo:
www.bleepingcomputer.com/forums/
 
Back
Top Bottom