Lara 1 unatafutwa huku, njoo

Lara 1 unatafutwa huku, njoo

KIUNGOMCHEZESHAJI

Senior Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
120
Reaction score
255
Jamani ukweli lazima usemwe, katika akina dada wa humu FJ, lara 1 anatisha.

Nina muda mrefu nikiwa naingia JF kama guest, lakini recently nimeamua kujiunga na JF. Kwa muda wote, katika comments za akina dada wa humu JF, i have never seen the greatest and challenging one like lara 1.

Kwa heshima na taadhima, nakuomba popote ulipo lara 1, njoo. Mimi ni mwanaume, nachohitaji toka kwako ni moja tuu, to see your real lara 1, naomba unikubalie ombi langu, just having lunch or dinner with you, then its over. I give you credit for the kind of comments you make, you are fantastic, upstairs zimo, mwanamke focused aiseeeee, sijapata ona. Kama uko na Mr. wako pia njoni wote, nijifunze siri ya ujasiri wako huo. Wanawake wote wangekuwa kama wewe sijui ingekuwaje hapa jukwani na duniani pia.

Njoo mama lara 1, njoo ni pm tuwasiliane.
 
Last edited by a moderator:
Amekwama kwenye fallen ila anakuja.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Kweli, nahisi jukwaa limekumiS sana lala 1,
Njoo hata utuwekee thread hata tuanze kukuchalenj kidogo
 
haaa, wewe sasa unatafuta mabalaa, akikukubalia, ujue atakuuliza maswali mawili tu harafu utakaa kimya mpaka dinner inakwisha
harafu ukionana nae utuletee feedback hapa. all the best seeing Lara moja
 
haaa, wewe sasa unatafuta mabalaa, akikukubalia, ujue atakuuliza maswali mawili tu harafu utakaa kimya mpaka dinner inakwisha
harafu ukionana nae utuletee feedback hapa. all the best seeing Lara moja

Hahaha, you killed it.
 
Huyu Lara 1 nadhani ndiye Salama Jabri wa EAC TV cause misimamo yake na aina ya maswali yake wanafanana sana.
 
Tatizo lara 1 anaweza akawa mzuri kichwani tu. Nyuma kapigwa pasi, miguu akiwa bukoba atonekana anatembelea mikono. Mwili boli dozer.
Usitegemee akakubali kukutana na wewe, uje umnange hapa.
lara 1 my freind, remember we are friend hapo juu just just tu.
 
Last edited by a moderator:
na mgomo wake alio weka ,tusubiri tuone kama atatokea hapa,ee Lala Moko tafadhali jitokeze unatafutwa huku
 
Mkuu hata mie huyu Dada namuheshimu..nasomaga post zake tu humu jf...ingawa niliwahi kubahatika kumuona kwa mbali...ucniulize wapi...yuko vzr
 
Lara 1 Kichwa!
Lara 1 anajitambua!
Lala 1 mtukutu!
Anajua mahali pa kupiga na aina ya pigo la kumflotisha adui!
Ni mwerevu na hajui kumumunya maneno!
Atatafakari wito wako!
 
Jamenii kiingilio cha kwenda kumuona bei gani:- greenstand au hata VIP au kusimam juani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom