Laptops and Mobile phones for sale

Del inspirion core i3,toshiba 320gb,2gb ram,pia hp dv6 6gbram,640gb hard disk,core i5,pia hp probook dual core,2gb ram,320gb hard disk..cal 0719373606
 
Kuna hp probook 320gb,2gb ram,hp compaq 2gb ram,250gb ,...pia hp dv6 core i5,6gbram, 640gb of hdd,...pia kuna toshiba na del...cal 0719373606
 
kama hauweki bei msiwe mnapost vimatangazo vyenu vya biashara,mimi nimefngua uzi huu nikitegemea nitakuta na bei naona utumbo.....sijafurahishwa.
 
maelewano baada ya kuweka bei, mtu akihitaji ndo anatafta hayo maelewano, ikiwezekana weka na picha au hujui biashara?​
 
Mbona hutaki kuweka Bei? Au ndo zile mnazokwapua Manyanya kwa hiyo bei yoyote haina hasara kwako??
 
Hp dv6..6gb ram,640gb of hdd,core i5...toshiba i3,250 gb,2gb ram..toshiba dual core 320gb hdd,2gb ram...del inspiron 320gb,2gb ram, hp compaq 250gb,2gb ram..pia zipo min laptop za acer.,
cal 0719373606
 
specification hizo tunazijua, haina maana ya kuandika specification kama hujaambatanisha na bei.
 
Bei n maelewano,weng nimefanya nao biashara,huna haja ya kuogopa kuuliza,kama unadhan unashndwa kupiga cm jus send pm to me
 
Bei n maelewano,weng nimefanya nao biashara,huna haja ya kuogopa kuuliza,kama unadhan unashndwa kupiga cm jus send pm to me

Kweli wewe kiazi! sasa unataka kufanya biashara halafu unaogopa kuweka bei.
 
Bei n maelewano,weng nimefanya nao biashara,huna haja ya kuogopa kuuliza,kama unadhan unashndwa kupiga cm jus send pm to me

NimekuPM kuhusu Hp dv6..6gb ram,640gb of hdd,core i5 toka jana naona hakuna majibu.
 
hp dv6 core i5,6gb ram,620hdd,6gb ram...
hp probook, core15,4gb ram,500gb hdd,..
hp compaq 320gb,3gb ram,dual core..
toshiba i3,250gb,2gb ram,..
toshiba dual core,320gb,2gb ram,.
napatikana dar es salaam. phone no 0719373606
 
laptops zinauzwa....hp dv6 core i5,6gb ram 620gb hdd...toshiba 2bg ram.320gb hdd..hp comapq 2gb ram,250gb...del d620,1gd ram..80gbhdd
cal 0719373606
 
laptops zinauzwa....hp dv6 core i5,6gb ram 620gb hdd...toshiba 2bg ram.320gb hdd..hp comapq 2gb ram,250gb...del d620,1gd ram..80gbhdd
cal 0719373606
Weka bei ili kabla hatujapoteza pesa ya kukupigia unafanya biashara kwa uficho au bei nisawa na bei ya dukani ambayo ni mpya???
 
Back
Top Bottom