Kaka biashara makubaliano,yan 2nakubaliana..hakuna fix price kwa mal za mkononi..
nadhani hna uzoefu wa biashara wa kutosha. Mimi naungana na wanaokuchagiza uweke picha na bei tarajiwa kwa hivyo vifaa unavyouza kwani hakuna gharama yoyote kufanya hivyo. Wewe unadhani wasomaji watahamasikaje kuja kununua kwako wakati bidhaa hizo hizo zimetapakaa mitaani kwa bei ambayo pengine ni chini na unayoifikiria? Mimi nakushauri uweke picha na bei tarajiwa za kuanzia na useme unapatikana upande gani katika hii nchi iwe Dar, Arusha, Mwanza au mji wowote, kisha weka "Mazungumzo yapo" na si hii ya kuwababatiza watu kwamba mtakubaliana.Mkal hi ni biashara,makubaliano ndo kila ki2 bro..yan kama unaitaj simu ipo hapo mkal piga 2kubaliane,hakuna kinachoshndikana kwenye makubaliano.
Mkal hi ni biashara,makubaliano ndo kila ki2 bro..yan kama unaitaj simu ipo hapo mkal piga 2kubaliane,hakuna kinachoshndikana kwenye makubaliano.
Napatikana dar-es-salaam..picha naweka mkali
wapi unapatikana?
iko wapi i mean mji upi?