Laptops and Mobile phones for sale

Laptops and Mobile phones for sale

Photocopy machine inauzwa ni canon ir 1600...piga 0719373606...
Nipo dar es salaam.

Jaribu kuwa serious,kama unataka kweli kuuza. Sasa watu tutajua ni bei gani,inahali gani yaani mpya au used,Dar sehemu gani?
 
taja bei kwanza pia eleza uwezo wake wa kufanya kazi mfano inatoa copy ngapi kwa dakika/saa
 
weka specifikation mkuu, bei nk
hii itamsaidia mnunuzi kupata hata ham ya kununua.

Ilaelekea wewe si mfanyabiashara manake unashindwa hata kuwavuta wateja.
 
weka brand za hizo laptops, bei na specifications zake wa2 hawaokoti vocha bingwa
 
Mkuu tupe bei ni kiasi gani na meter reading yake ni ngapi pia je ina ADF au la?
 
Laptops zinaunzwa,hp probook 320gb,2gb ram,dual core procesor metalic black,wide screen.....hp compaq 320gb,2gb ram..hp compaq 2gb ram.,250gb hard disk...del inspirion,pia kuna toshiba core i3.

Nipo dar, piga 0719373606
bei ni nzur na maelewano.
 
Hp probook 320gb of hdd,2gb ram, dual core(2.4ghz)..pia hp compaq 320gb,2gb ram..pia hp compaq 2gb ram 250 hdd,pia del na toshiba..
Napatikana dsm
piga 0719373606
 
Wakuu, mbona tunawapa kazi ya ziada hawa Mods? Kule mbona kuna jukwaa la matangazo na nyie ni wenyeji kabisa wa humu JF na mnaelewa vizuri?...hii siyo fea bana, tutumieni jukwaa hili kwa kadri lilivyokusudiwa!
 
Siku zote ukitaka kuuza kitu na ukataka watu wakuelewe toa bei moja kwa moja hapa ili mtu apime uwezo wake ajue anaji commit vipi otherwise unataka maneno mengi upewe then uanze kuilaumu jf bure!!!
 
weka bei mkuu hii itasaidia watu kutokumaliza credit zao bure kupiga simu au kupoteza muda (time is money)
 
Nina mashne nyingi jaman,yan niweke bei ya kila mashne?
 
sio mpya za dukan bro..kama ungependa ungeziona..nitafute kupitia 0719373606
mkuu sio mpya za dukani unamaanisha nini ? , sio wote tupo huko ulipo huenda wengine tupa Sudan hapa kwahio information za kutosha zinapunguza maswali
 
mkuu sio mpya za dukani unamaanisha nini ? , sio wote tupo huko ulipo huenda wengine tupa Sudan hapa kwahio information za kutosha zinapunguza maswali

ni mpya,bt usidhan zinakuja na box na malailon..n vema ungeziona..ukinibeegp nitakupa info za kutosha
 
320gb of harddisk,2gb ram,dual core 2.4ghz, ina webcam.,metalic black...2po dar es salaam
phne no 07193736067
ukiulzia unaletewa uione.
 
Back
Top Bottom