bei gani mac book air?mac air.core15,4gb ram, mpyaaa
hp probook 3gb ram 250gb ram core 13,
hp 620, dualcore,320gb,2gb ram
piga 0719373606
pm au nipe email0719373606
bei gani mac book air?mac air.core15,4gb ram, mpyaaa
hp probook 3gb ram 250gb ram core 13,
hp 620, dualcore,320gb,2gb ram
piga 0719373606
pm au nipe email0719373606
huwa najiuliza sana kwa nini matangazo mengi ya kibongo hayawekwi na bei??? Au ni moja ya marketing strategies.???
huwa najiuliza sana kwa nini matangazo mengi ya kibongo hayawekwi na bei??? Au ni moja ya marketing strategies.???
HP zinasumbua sana,hebu tutafuta DELL kaka.
Hp ni laptoo nxuri sana labda kama ulinunua k.koo kwa wasomali
2008 Mpaka leo bado unaona haijadumu? Unataka Laptop Ikae miaka mingapi? AMD ni cheap processors, kwahiyo performance na life span yake haiwezi kuwa sawa na intel. Hatahivyo imejitahidi. Hiyo ya mazingira ya joto sio kweli. Hata ulaya kuna joto wakati wa summer, kampuni kama AMD haiwezi kufanya upuuzi wa kutengeneza winter only processor. Labda angekwambia the type of silicon used ndio haihifadhi joto vizuri na kufanya processor kuchemka kama rejeta ya gari...No, sikununua kwa Wasomali, niliinunua kwa agent pale Kisutu. Nimekaa nayo tangu 2008, ila jamaa yangu fundi alisema kwamba processor nyingi za HP (AMD Turion) zimetegenezwa kwa ajili ya mazingira ya baridi, hivyo kwenye joto kama kwetu huku hazidumu sana. Labda shida inaweza kuwa hapo! Ila it was excellent. Hata hivyo nimeisotesha sana kwenye deiwaka, ina haki ya kufa.
hp 620 notebook core13 processor 4gb ram .500gb hard disk,
hp 620 notebook dual core processor 2gb ram 320gb hard disk,
Dell. E5430, hard disk 500gb, 4gb ram, internal moderm
zote zina web cam na wifiii
mawasiliano 0719373606
tupo dsm