Laptops and Mobile phones for sale

Laptops and Mobile phones for sale

Tatizo la wabongo hawajui hata hii biashara za kufanya online sio za kupatana weka bei kuwa huru
 
[h=5]dell latitude E5430, hdd 500gb, ram 4gb, core i5, spedy 2.5ghz,webcam,internal modem,fingprt,blutoth
hp 630, hdd 500gb,ram 4gb, core i3 procesor,sped 2.53ghz,web,blutoth,
zote mpyaa
tupo dar-es-salaam,
tuma email thejoseec@gmail.com
au tuma private msg....am always online
0719373606 kwa mawasiliano
[/h]
 
pia kuna dell n5110 corei7,6gb ram,500gb hdd,pamoja na gh probook,corei5,500gb hdd,4gbram
 
bei ni maelewano kati yangu na mreja....anaeitaji always ananitafutaga na tunafanya biashara
 
No, sikununua kwa Wasomali, niliinunua kwa agent pale Kisutu. Nimekaa nayo tangu 2008, ila jamaa yangu fundi alisema kwamba processor nyingi za HP (AMD Turion) zimetegenezwa kwa ajili ya mazingira ya baridi, hivyo kwenye joto kama kwetu huku hazidumu sana. Labda shida inaweza kuwa hapo! Ila it was excellent. Hata hivyo nimeisotesha sana kwenye deiwaka, ina haki ya kufa.

unachokisema ni kweli, HP na Joto haviendani.
 
Mfanya biashara mwenyewe hajiamini, maana anaogopa kuweka bei.
We unanadi bidhaa bila kuweka bei ndo biashara gani hiyo?
Kama utaweka bei tutakutafuta mkuu.
 
huyu bwana ni tapeli aliwahi kuniuzia na zikawa mbovu msinunue kwake....nawaonya am serious
 
laptpo zinauzwa kwabei poa
hp pro-book i5,500gb hdd ,4gb ram
dell i7 500gb hdd ,4gb ram,
hp notebook core i3,500gb hdd ,4gb ram,
piga simu 0719373606
 
Kwanini tuanze kusumbuana kwa simu? weka bei.....nikikupigia ni kuja kuchukua tu.....
 
laptpo zinauzwa kwabei poa
hp pro-book i5,500gb hdd ,4gb ram
dell i7 500gb hdd ,4gb ram,
hp notebook core i3,500gb hdd ,4gb ram,
piga simu 0719373606

tatizo lako huweki bei sijui unasikia ujiko kupigiwa pigiwa simu?
 
hp probook i5 kwa 680,000 ina 320gb hdd 3gb ram wecam fingerprint, piga simu 0719373606
 
Back
Top Bottom