Zaidi ya crypto mkuu, maana ile ilisumbua gpu tu, sasa hivi CPU, ram, gpu, to the point hadi simu Nazo hazijasalimika, na watu wanafungia tu ndani, hata hawazitumii. Reports nyingi zinatoka sasa hivi Kina Microsoft, Google, FB na wengineo hizo ram hata hawazitumii zote wanaweka tu ndani kwa ajili ya baadae, Microsoft anatumia chini ya nusu ya ram anazonunua. So wanaflex tu uwezo wao wa hela, huku sisi tunataabika.