Laptop ipi inayotunza chaji vizuri ?

Laptop ipi inayotunza chaji vizuri ?

Raaj

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
205
Reaction score
29
Habari ndugu wana JF mimi niliamua kujichanga kuanzia mwaka jana mpaka leo nimetimiza sh 550000 sasa nahitaji kununua laptop nzuri na inayotunza moto sababu huku nilipo electricity ni shiiiida naombeni ushauri wenu.

Asanteni.
 
kila brand inatunza chaji.. Battery litadepreciate kutokana na matumizi yako. vinginevyo hapa mtu ataishia kukutajia brand anayotumia
 
tafuta laptop za baytrail ni bei rahisi, charge pia inakaa sana hadi masaa 12 na kuendelea. sema zinakuwa hazina nguvu sana ila kwa matumizi ya kawaida ya kibongo bongo zinafaa
 
Unataka isiishe chaji ifunge betri ya gari maswali mengine hayana maana kabisa
 
mkuu aslimia 99 ya brand za computer zin uhusiano mkubwa katika battery zake...ishu inabaki kwa mtumiaji mwenyewe..kadri unavyoitumia mara kwa mara ndivyo na charge inakwenda..unaitumia kwa kufanya nini...mfano kucheck muvi, kudownload, au kucheck video online , games na baadhi ya program zinakuwa zinakula sana charge na hivi vyote vinatofautiana kati ya matumizi ya mtu na mtu...so it doesnt matter kwa sana kuhusu battery..ni matumizi yako tu!!

kwa swala la brand gani zuri bado ishu inabaki pale pale..mara nyingi ni preference ya mtumiaji..mfano mimi kwa Toshiba huniambii kitu..its just that nazipenda tu...na mwingine anapenda dell mwingine acer.. so kila mtu ukimuuliza atasema anachokipenda..but wewe unatakiwa uangalie vitu kama specifications unazozitaka na bei unayoiweza..then swala la brand gani ndo linakuja sasa kulingana na wewe unavyopenda..

uzuri sikuhizi unaweza kupata pc za specification unazotaka kwa brand tofauti tofauti na kwa bei tofauti mfano utakuta pc ya specification flani dell wanayo na acer au toshiba au brand nyingine pia wanayo kama hiyo na pengine ukakuta hata bei zinafanana au zikatofautiana ukizingatia kuwa ni soko huria..but mwisho wa siku uimara wa pc yenyewe kwa aslimia 90 unategemea na matunzo/matumizi yako!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom