Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,407
Hawezi kumudu bei KakaKiiza
We unajuaje? Acha anunue bana
Last edited by a moderator:
Hawezi kumudu bei KakaKiiza
budget yako ni sh ngapi? laptop inaanzia sh 300k mpaka mil 40.
Kwani kuna laptop inayotaka joto..
300k, hivi hii K husimama badala ya nini?
k =kilo=10^3=1,000.penye k weka 000(triple zero) Vipi ulikimbia hesabu mkuu?
Mkuu wangu sikukimbia ila nimeona hiyo K iko sehem nyingi sana,kama inamaanisha hiyo K ni kilo napinga kabisa kwa nini isiwe kilometre?
Mungu wangu!!!!!!budget yako ni sh ngapi? laptop inaanzia sh 300k mpaka mil 40.
Siku hizi kuna wimbi kubwa la vijana hasa waliopo na waliohitimu vyuo vikuu kumiliki laptops.Mimi nipo kijijni na elimu yangu ni std vii lkn nimejaliwa kupata vipesa na sasa nahitaji kununua laptop.Ni aina gani mnanishauri ninunue na ubora wake ukoje.Mwenye nayo tuwasiliane kupitia 0757430401.
Ukitaka Used (zilizotumia Marekani zipo DELL pale mtaa wa Uhuru Dar bei sio mbaya laki tatu hadi tatu na nusu, kama utapenelea aina hiyo ununue DELL INSP 630. Lakini pia kuna laptop mpya za kichina zinafaa pia kwa ujana maana zina camera, na sehemu ya kutunzia mafaili kubwa sana ambayo wewe kijijini ndio itakuwa nzuri kwa ajili ya kuingiza nyimbo nyingi na picha mbalimbali, aina zinazopatikana pale ni DELL, ACER, TOSHIBA. mimi natumia ACER mwaka wa tatu sasa haijanisumbua
Mkuu hii itafaa??
![]()
![]()
inauzwa USD1Million sawa na Billion 1 na Millioni 620 za kitanzania
Kwani kuna laptop inayotaka joto..
Wewe unahitaji Apple ili usihangaike na mambo ya anti virus.
Mimi nahitaji ya matumizi ya kutuma taarifa kazini na pia nicheze ma game ni laptop ya shilingi ngapi?Hapo ni sawa na kuuliza gari gani zuri kulíko yote? Uzuri unategemea malengo ya matumizi yako kwani laptop znatofautiana bei kutokana na aina, ukubwa wa injini(processor)memory(ram&hard drive). Kwa matumiz ya kawaid (kuskiliza muzk,movie,internet,nk) wewe nunua dell inspiron yoyote itakufaa maana ni cheap kuaford accessories zake.