Laptop hipi nzuri zaidi kuliko zote?

Laptop hipi nzuri zaidi kuliko zote?

TRIPLE H

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
651
Reaction score
351
Siku hizi kuna wimbi kubwa la vijana hasa waliopo na waliohitimu vyuo vikuu kumiliki laptops.Mimi nipo kijijni na elimu yangu ni std vii lkn nimejaliwa kupata vipesa na sasa nahitaji kununua laptop.Ni aina gani mnanishauri ninunue na ubora wake ukoje.Mwenye nayo tuwasiliane kupitia 0757430401.
 
Laptop nzuri inategemeana na wewe unaihitaji kwa matumizi yapi
 
Siku hizi kuna wimbi kubwa la vijana hasa waliopo na waliohitimu vyuo vikuu kumiliki laptops.Mimi nipo kijijni na elimu yangu ni std vii lkn nimejaliwa kupata vipesa na sasa nahitaji kununua laptop.Ni aina gani mnanishauri ninunue na ubora wake ukoje.Mwenye nayo tuwasiliane kupitia 0757430401.
Hivi kushauriwa aina ya lap top mpaka utaje elimu yako? Mh!!
 
Siku hizi kuna wimbi kubwa la vijana hasa waliopo na waliohitimu vyuo vikuu kumiliki laptops.Mimi nipo kijijni na elimu yangu ni std vii lkn nimejaliwa kupata vipesa na sasa nahitaji kununua laptop.Ni aina gani mnanishauri ninunue na ubora wake ukoje.Mwenye nayo tuwasiliane kupitia 0757430401.
Hapo ni sawa na kuuliza gari gani zuri kulíko yote? Uzuri unategemea malengo ya matumizi yako kwani laptop znatofautiana bei kutokana na aina, ukubwa wa injini(processor)memory(ram&hard drive). Kwa matumiz ya kawaid (kuskiliza muzk,movie,internet,nk) wewe nunua dell inspiron yoyote itakufaa maana ni cheap kuaford accessories zake.
 
Wewe sasa laptop ya nini?;Au unataka maujiko kijijini kwenu?;Mimi nakushauri usinunue usije ukakaribisha wazee wakutumia vitu vya ncha kali nyumbani kwako;Sawasawa!.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
ndugu tripple h kwanza napenda nikurekebishe hapo kwenye kichwa cha habari!!! neno "hipi" sio neno sahihi na badala yake ulipaswa kuandika "ipi">>>>>laptop nzuri na imara ni Hp
 
Nani kakwambia Hp ni imara, mara nyingi Hp huwa hazitaki joto Mkuu.
 
Siku hizi kuna wimbi kubwa la vijana hasa waliopo na waliohitimu vyuo vikuu kumiliki laptops.Mimi nipo kijijni na elimu yangu ni std vii lkn nimejaliwa kupata vipesa na sasa nahitaji kununua laptop.Ni aina gani mnanishauri ninunue na ubora wake ukoje.Mwenye nayo tuwasiliane kupitia 0757430401.

Unanunua kwa kua vijana wenzako wanazo au kuna matumizi yanayokufanya uwe na lapton TRIPLE H ?
 
Last edited by a moderator:
nzuri kuliko yote bado haijatengenezwa.
Ndo wana design mkuu. Endelea kusubiri
 
Siku hizi kuna wimbi kubwa la vijana hasa waliopo na waliohitimu vyuo vikuu kumiliki laptops.Mimi nipo kijijni na elimu yangu ni std vii lkn nimejaliwa kupata vipesa na sasa nahitaji kununua laptop.Ni aina gani mnanishauri ninunue na ubora wake ukoje.Mwenye nayo tuwasiliane kupitia 0757430401.

budget yako ni sh ngapi? laptop inaanzia sh 300k mpaka mil 40.
 
Hapo ni sawa na kuuliza gari gani zuri kulíko yote? Uzuri unategemea malengo ya matumizi yako kwani laptop znatofautiana bei kutokana na aina, ukubwa wa injini(processor)memory(ram&hard drive). Kwa matumiz ya kawaid (kuskiliza muzk,movie,internet,nk) wewe nunua dell inspiron yoyote itakufaa maana ni cheap kuaford accessories zake.

ahsante bro.mathabane,nitakasaka ka dell (inspiron) bila shaka katanisaidia.
 
Siku hizi kuna wimbi kubwa la vijana hasa waliopo na waliohitimu vyuo vikuu kumiliki laptops.Mimi nipo kijijni na elimu yangu ni std vii lkn nimejaliwa kupata vipesa na sasa nahitaji kununua laptop.Ni aina gani mnanishauri ninunue na ubora wake ukoje.Mwenye nayo tuwasiliane kupitia 0757430401.

Ukitaka Used (zilizotumia Marekani zipo DELL pale mtaa wa Uhuru Dar bei sio mbaya laki tatu hadi tatu na nusu, kama utapenelea aina hiyo ununue DELL INSP 630. Lakini pia kuna laptop mpya za kichina zinafaa pia kwa ujana maana zina camera, na sehemu ya kutunzia mafaili kubwa sana ambayo wewe kijijini ndio itakuwa nzuri kwa ajili ya kuingiza nyimbo nyingi na picha mbalimbali, aina zinazopatikana pale ni DELL, ACER, TOSHIBA. mimi natumia ACER mwaka wa tatu sasa haijanisumbua
 
Back
Top Bottom