excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,449
- 17,918
mkuu ina maana hata aina hii inaweza pia ku-hold programme kubwa za video editing na movies pia?usidanganyike na brand kwenye kuchagua pc, zipo tu sub brand maarufu kama thinkpad(lenovo), alienware (dell), envy (hp), rogue (asus) etc hizo subrand zina purpose zake.,
cha muhimu ni kuangalia specs na sio brand.
Au hawa jamaa wa Hollywood wanachaguaji computer za kufanyia kazi?
Naomba msaada hapo!