kama laptop ni laptop mbona zipo za laki 4, za laki 5 za milioni, za milioni mbili etc, kwanini nyengine huuzwa ghali na nyengine huuzwa bei rahisi? nini husababisha hivyo?
Naona roho inakuuma kweli ukisikia "injinia"!!ni mbwembwe tu za kibiashara bwana mdogo, kuna vitu basic vinatakiwa viwe kwenye laptop ili iitwe laptop...vingine ni mbwembwe za manufacturers kuteka soko NDIO MAANA UNAONA BEI TOFAUTI.. ENGINEER LAPTOP ANATUMIA KUSAVE DOCUMENTS NA SOFTWARE ..... SASA NAOMBA NITAJIE LAPTOP ZA MAENGINEER NA ZISIZO ZA MAENGINEER
Mbona unatokwa povu ivo mkuu, Pc za engineering nyingi zao ni Gaming ambazo performances yake ni kubwa ili iweze kuhandle software kama AUTOCAD,MaTLAB NA SIMULATION SOFTWARE, unaumia sana ukisikia injinia eeh?ni mbwembwe tu za kibiashara bwana mdogo, kuna vitu basic vinatakiwa viwe kwenye laptop ili iitwe laptop...vingine ni mbwembwe za manufacturers kuteka soko NDIO MAANA UNAONA BEI TOFAUTI.. ENGINEER LAPTOP ANATUMIA KUSAVE DOCUMENTS NA SOFTWARE ..... SASA NAOMBA NITAJIE LAPTOP ZA MAENGINEER NA ZISIZO ZA MAENGINEER
Hakika tuna safari ndefu sana aisee!!!ni mbwembwe tu za kibiashara bwana mdogo, kuna vitu basic vinatakiwa viwe kwenye laptop ili iitwe laptop...vingine ni mbwembwe za manufacturers kuteka soko NDIO MAANA UNAONA BEI TOFAUTI
Hapa tunazungumzia computer /laptop nzuri kwa ajilo ya Automobile Engineering Studies mkuu, jukwaa la siasa na sera za elimu nadhani lipo.Nyinyi ndo wapumbavu wa taifa letu mnaosema elimu ni kwa faida yako mwenyewe mana umesema utendaji ni juu yake ili inchi iwena maendeleo nilazima tukatae kuwa elimu ni kwafaida yako binafsi huo ndo msingi wa ufisadi na ndo mana serikali inakataa kutoa mikopo kwa wanafunzi wote kwa kuwa INA akili kama zako laiti ingejua kuwa elimu inatakiwa kuwa kwa faida ya taifa isingefanya hivyo
na hizo software hufanana sio? laptop yoyote inarun hizo software? tuoneshe kwa vitendo basi download Hata adobe after effects halafu load project ya 4k kwenye hio laptop ya kawaida tuone inavyofanya kazi, halafu urikodi video ueke hapani mbwembwe tu za kibiashara bwana mdogo, kuna vitu basic vinatakiwa viwe kwenye laptop ili iitwe laptop...vingine ni mbwembwe za manufacturers kuteka soko NDIO MAANA UNAONA BEI TOFAUTI.. ENGINEER LAPTOP ANATUMIA KUSAVE DOCUMENTS NA SOFTWARE ..... SASA NAOMBA NITAJIE LAPTOP ZA MAENGINEER NA ZISIZO ZA MAENGINEER
Wakuu habar zenu,nasomea automobile engineering naomba kufahamishwa ninunue laptop yenye uwezo gani na brand gani ambayo itakidhi shughuli zote za masomo yangu.Nina bajeti ya 400000/= na kama itanibidi niongeze pesa ili nipate laptop itakoyanifaa zaidi nipo tayar kuongeza.
Mkuuna hizo software hufanana sio? laptop yoyote inarun hizo software? tuoneshe kwa vitendo basi download Hata adobe after effects halafu load project ya 4k kwenye hio laptop ya kawaida tuone inavyofanya kazi, halafu urikodi video ueke hapa
panasonic toughbook nazifahamu za watu wa field kama wanajeshi, macontractor etc sema bei zake nazo zimesimama laptop ya kawaida ya specs za dola 500 wao wanauza dola 1500 hadi 2000, mara nyingi ni serikali au makampuni makubwa ndio hununua hizo.Mkuu
Laptop nimeweka picha hapo chini, hizi ndio aina za laptop kwa ma engineering, artists. .na wengine, zina uwezo mkubwa sana katika kuchapa kazi, unajua software za engineering ni kubwa sana,kwa laptop ya kawaida ni kuiyumiza. .. Pia hizi kwa mu undo wake hata ikianguka iko powa. Zipo mpaka simu za ma engineering, waterproof hataiingie kwenye tope or some kemikal
Hata watu wa kawaida mafundi hutumia sana, it's cost about 350 pounds used new kuanzia 800-1500 poundspanasonic toughbook nazifahamu za watu wa field kama wanajeshi, macontractor etc sema bei zake nazo zimesimama laptop ya kawaida ya specs za dola 500 wao wanauza dola 1500 hadi 2000, mara nyingi ni serikali au makampuni makubwa ndio hununua hizo.
Hata watu wa kawaida mafundi hutumia sana, it's cost about 350 pounds used new kuanzia 800-1500 pounds
Angalia eBay unaweza kupata majibu
na hizo software hufanana sio? laptop yoyote inarun hizo software? tuoneshe kwa vitendo basi download Hata adobe after effects halafu load project ya 4k kwenye hio laptop ya kawaida tuone inavyofanya kazi, halafu urikodi video ueke hapa
1. wewe umesema laptop ni laptop just nimetoa mfano tu haponaona unatoka nje ya mada kiongoz .... labda nikuulize adobe after effects ina umuhimu gan kwa mtu anaesoma engineering inamsaidia kufanya nini?
pia after effect inatumiwa na ma engineer, wanapresent vipi data zao za motion? leo hii umepata tenda unatakiwa ukaipresent kwa wawekezaji after effect haihusiki?naona unatoka nje ya mada kiongoz .... labda nikuulize adobe after effects ina umuhimu gan kwa mtu anaesoma engineering inamsaidia kufanya nini?
Mkuu vipi? Dunia ya sasa hivi almost kila mwenye nia ya kuwasiliana kikamilifu inabidi at least ajue basics za video editing maana ndiyo njia fanisi ya kuwasilisha ujumbe.naona unatoka nje ya mada kiongoz .... labda nikuulize adobe after effects ina umuhimu gan kwa mtu anaesoma engineering inamsaidia kufanya nini?
Mkuu nimepata hii DELL LATITUDE E6410 intel core i5.Vipi hii itafaa?huwa laptop za games ndio hizo hizo za engineer, bei zake ni mamilioni ya hela, sababu budget ni tight tafuta used laptop za 4th generation ambazo cpu zake zinaishiwa na m au qm na hq unazipata around 500,000 inaweza shuka kidogo au kupanda kidogo. angalia kupatana.
mkuu hio ni 1st gen itakusumbua hasa upande wa gpuMkuu nimepata hii DELL LATITUDE E6410 intel core i5.Vipi hii itafaa?
![]()
![]()
![]()