Land Rover Discovery 4 - Mega thread

sir joshua

sir joshua

JF-Expert Member
480
225
kudasai hapana zipo 3000 cc V 6 , VHS diesel na chini ya hapo pia ila petrol..hiyo ya diesel pia mafuta kawaida tuu Muingereza kabana hazinywi mafuta ila kwa V 8 ndio inajieleza inakunywa...kujua nyuma inaandikwa 6VHS hiyo ni V 6 na nyingi 3000cc mpaka 2500cc zipo ila nadhani chache sana za petrol hizo..
Isanga famillly na vip kuhusu Subaru Forester ya mwaka 2005bei gani kwa hapo south naomba ufafanuz japo nimetoka nje ya mada samahani mkuu..
Discovery 3 v6 diseil ina nguvu hatari
 
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
7,137
2,000
sir joshua Subaru Foresta SA wanatengeneza na model za karibuni zipo ila bei zitakua kati ya 7m mpaka 10milion hizo nilizoziona ni za 2008 mpaka 2010 hiyo unayosema wewe itakua chini ya hapo kwenye saba maana ni ya zamani Subaru wananunua sana za miaka ya karibuni na ndio zipo juu hizo za 2005 kushuka chini bei sio kubwa kwa kuwa hapa hazipo sana kwenye soko na hayo ni magari ya zamani..
 
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
7,137
2,000
sir joshua tofauti ya gari za SA na Japan ni kuwa ya 2002 ya japan nei inakua kama toleo la sasa hivi kwa sababu ipo kwenye soko SA gari ya 2002 ni toleo la zamani hilo hata soko lake linakua chini nadhani utakua umenielewa hata scania horse ya 2003 ni toleo la zamani bei itakua kubwa kuanzia haya ya 2010 kuja mbele miaka ndio kigezo cha bei na jina la gari..
 
B

bobtony

Member
44
95
Kiongozi hii discover 4 kwa South Africa, inatembea bei gani sokoni?, naikubali sana my only dream car.
 
Kudasai

Kudasai

Senior Member
173
250
Mkuu isanga hebu tupe mchanganuo wa gharama kwa hizi V6 diesel kupitia
 
Kudasai

Kudasai

Senior Member
173
250
Mkuu isanga hebu tupe mchanganuo wa gharama kwa hizi V6 diesel kupitia Namanga
 
G

gpluse

JF-Expert Member
517
1,000
Mjapani katuteka watanzania

Yaan mie huwa nashangaa sana kwakwel. Mtu hawazi zaidi ya Japan. Kila siku kuogofya watu oh spea oh sijui kitu gan. Naona Kenya wenzetu hawako kwenye hili giza.
 
Kudasai

Kudasai

Senior Member
173
250
Uzi umekosa wachangiaji! Dah! Hizi gari huwa zinanikosha roho sana
 
B

bobtony

Member
44
95
Mkuu Kudasai Mi mwenyewe hii gari haswa Discover 4, Mungu ni mwema tutamiliki, watu wapo addicted na Japan.
 
U

utali

JF-Expert Member
597
500
discovery gari nzuri mkuu...barabara zetu hizi mpaka discovery 200 bado zinatembea. Unajua za lini hizo? 1995/6/8
Tatizo mafundi wetu nao wanawadanganya sana watu.. ooh hiyo gari mbovu, sijui injini kimeo.. kumbe wao ndio wako nyuma kiteknolojia na wamezoea garage zetu za chini ya mwembe zinazotengeneza 109 za carburetor.
Siku hizi gari full umeme, mafundi jiendelezeni jamani.
By the way, disco 4 ni mwisho wa njia, sema spea zake sio nyingi na mafundi pia wachache, hivyo ikiharibika ujiandae na mpunga wa kutosha kupata spea nyingine..
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
39,561
2,000
Unaetaka discovery 4 angalia humu...

autotrader.co.uk
 
U

utali

JF-Expert Member
597
500
sir joshua Subaru Foresta SA wanatengeneza na model za karibuni zipo ila bei zitakua kati ya 7m mpaka 10milion hizo nilizoziona ni za 2008 mpaka 2010 hiyo unayosema wewe itakua chini ya hapo kwenye saba maana ni ya zamani Subaru wananunua sana za miaka ya karibuni na ndio zipo juu hizo za 2005 kushuka chini bei sio kubwa kwa kuwa hapa hazipo sana kwenye soko na hayo ni magari ya zamani..
Vipi kuhusu disco za U.K. Mafundi wanadai zinazingua sana, hebu tupe experience ukilinganisha na za south?
 
Isanga family

Isanga family

JF-Expert Member
7,137
2,000
Utalii hizo gari azisumbui Mkuu labda hizo za UK
 

Forum statistics


Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom