Land Rover Discovery 4 - Mega thread

150 bei ya CMC Posta pale Dar es Salaaam na hapo plate number tayar Gari nzur sana
1470579096654.jpg
Mnyamaaaa
 
Mng'ato SA wamepunguza uzito pia lipo tofauti na tani tatu na ushee za UK na pia ulaji wa mafuta wa SA upo chini tofauti na ya UK ndio maana Msouth kauza sana Ulaya na Australia ingawaje yeye sio mmiliki na pia body lisiwe siraha ya kukudhuru pindi linapopata ajali mkuu mimi napendelea sana Mercedes Benz ila benz hawana gari ya juu iliyosimama kama Rand Lover ile ML 350 benz haipo confortable sana kama hizo Disco 3 na 4 hizo ni gari mzee tafuta kodi tuu boda ni 24milion kununua 3 ni 16 milion mpaka 20m ila disco 4 lipo juu mwakani litashuka bei hata used pia...
 
mkuu hiyo gari haina shida kama mdau anavyoongea hapo juu ni gari bora, lina balance, confarble sana ndani, speed ipo na imara Landrover hiyo haili mafuta simu yangu inagoma ku upload picha zake inawezekana Bufa ajaelewa unazungumzia nini..Labdrover 3 au 4 Tdi Vhs hizo ndio gari mkuu usikatishwe tamaa hapa watu magari hawajui hata ukiuliza Ford Ranger XLT 2016 utaambiwa matatizo hayo wakati gari imevunja Record ya mauzo yaliyowekwa na Navara,Isuzu Kb,Toyota d4d...
Kwenye ford ranger napingana na wewe, jaribu kuzunguka huko uone zilivyokufa,nina watu wanne ambao nawafahamu walikuwa nazo, zote zimekufa engine,labda uniambie Amarok yule ndio kaka mkubwa wa p/up.
 
Isambe Ford Ranger ya mwaka gani mkuu hiyo iliyokufa engine maana mimi Tz natumia ford Bantam ni mtoto wa ranger haisumbui na pia nishawahi kuwa na hiyo ranger ya 2012 XLT haisumbui imekuja Tz kama tripu za kutosha tuu nilinunua used kwa mtu alipewa guarantee ya miaka kumi na mimi nikauza na guarantee bado ipo hai Shida Tz mtu ana gari zuri anataka mafundi ambao sio authorized na hiyo engine.

Ford Ranger wamevunja Record ya mauzo ya pick up zote unazozijua South Africa...Kama ford bantam ambayo hawakutulia ya 2007 haisumbui isumbue hiyo Ranger...
 
hivi ford ranger kutoka South Africa inch awe za kugharimu shilingi ngap mpaka unaiendesha hapa Tanzania?
 
Kwenye ford ranger napingana na wewe, jaribu kuzunguka huko uone zilivyokufa,nina watu wanne ambao nawafahamu walikuwa nazo, zote zimekufa engine,labda uniambie Amarok yule ndio kaka mkubwa wa p/up.
Ford Ranger tatizo Pump pipe zikiingia hewa chafu Basi utalia
 
Mng'ato SA wamepunguza uzito pia lipo tofauti na tani tatu na ushee za UK na pia ulaji wa mafuta wa SA upo chini tofauti na ya UK ndio maana Msouth kauza sana Ulaya na Australia ingawaje yeye sio mmiliki na pia body lisiwe siraha ya kukudhuru pindi linapopata ajali mkuu mimi napendelea sana Mercedes Benz ila benz hawana gari ya juu iliyosimama kama Rand Lover ile ML 350 benz haipo confortable sana kama hizo Disco 3 na 4 hizo ni gari mzee tafuta kodi tuu boda ni 24milion kununua 3 ni 16 milion mpaka 20m ila disco 4 lipo juu mwakani litashuka bei hata used pia...
Aisee Mkuu Isanga family hapo nimekuelewa vizuri sana. Approximately hapo mtu ukiwa na 45mil discovery 3 unakua nayo mkononi sio chief? Ile Benz Ml 350 sijawahi kuvutiwa nayo kabisaa na nahis hata watu hawakuipenda kiviile maana hata mtaani hazionekani kwa saaana. By the way nna discovery 1 since 2007 Mkuu, nikitaka ku upgrade ntaku consult Mkuu maana mm landrover cars ziko kwenye damu kabisa.
 
Aisee Mkuu Isanga family hapo nimekuelewa vizuri sana . wamefanya vzr kupunguza uzito maana ile ya UK ni 3.5 tonnes kwa uzito huo hata kuchanganyia kwenye speed inakua sio shughuli rahisi kutokana na uzito wake mkubwa. So Approximately hapo mtu ukiwa na 45mil discovery 3 unakua nayo mkononi sio chief? Ile Benz Ml 350 sijawahi kuvutiwa nayo kabisaa na nahis hata watu hawakuipenda kiviile maana hata mtaani hazionekani kwa saaana. By the way nna discovery 1 since 2007 Mkuu, nikitaka ku upgrade ntaku consult Mkuu maana mm landrover cars ziko kwenye damu kabisa.
 
Kwenye ford ranger napingana na wewe, jaribu kuzunguka huko uone zilivyokufa,nina watu wanne ambao nawafahamu walikuwa nazo, zote zimekufa engine,labda uniambie Amarok yule ndio kaka mkubwa wa p/up.
Kuna clip niliziona Internet Amarok VS discovery 3 kwenye rough roads. Amarok ilijitahid Sana lkn mwishowe kuna sehemu ikawa inafail, discovery 3 hakuna sehemu ilishindwa kupita kabisa
 
Mkuu mng'ato unapata kwa bei hiyo sema labda uongeze na hela ya barabarani ukipitia botswana boader ya Zambia pia kuna vimalipo ukiwa unapita na pia ss hivi kuna kama usd 50 kupata karatasi kuna jamaa wanakagua kuweka dot kabla ya interpol crossboarder permit huku gari zinauzwa kutokana na mwaka ya 2005 mpaka 2010 ni matoleo ya zamani bei zake huwa chini kwa gari yoyote...
 
Usijaribu kununua discovery utaliuguza kila siku. Hayo magari ni spana mkononi, safari moja shamba nyingine garage.

Ni magari mazuri kwa muonekano na nguvu ila hayafai yanaharibika kila siku. Kuhusu mafuta hayanywi yanabugia, ukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi, si mchezo. Labda yapo yenye uwezo mdogo fuatilia. Ushauri wangu usichukue discovery.
Bufa discovery ni gari nzuri sana ila hazitaki ubahili na mateso...ndio maana zinaonekana ni mbovu...hizi ni gari za kiingereza ni uzao mmoja na vogue
Ukimiliki hizo gari
-hakikisha haiendeshwi na mikono mingi
-haitaki mafuta ya kidebe
-haitaki spare bandia
-haitaki lubricants bandia
Etc
 
Mngato benz wametoa mipira mizuri sana sema shida kodi ndio ipo juu zaidi kuna moja ilikuja jamaa aliambiwa aweke 35m ilikua ya 2015 kwa gari ndogo hizi na pia katika soko zimefanya vizuri pia na wanayo matoleo mengi ambayo yanayokimbizana na Vw golf 7 hii gari ni nzuri sana bei ya golf 7 iliyogongwa unapata disco 4 nzima iliyo yard ya 2010.,
 
Kuna clip niliziona Internet Amarok VS discovery 3 kwenye rough roads. Amarok ilijitahid Sana lkn mwishowe kuna sehemu ikawa inafail, discovery 3 hakuna sehemu ilishindwa kupita kabisa
Apo ni vitu viwili tofauti, hiyo moja ni p/up na nyingine ji station wagon,kila moja inatamba kivyake,ndio maana nikasema Amarok ni kaka mkubwa wa p/ups,iko clip moja niliiona disc3 na prado zilikuwa zinavutana kila upande,prado ikawa inaburuzwa tuu mpaka aibu
 
Achana na kuelezea definition /nature za hayo magari. Taja wapi Amarok inatamba ambako disc3 ina fail?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom