Land Rover Discovery 4 - Mega thread

Kudasai

Kudasai

Member
Joined
Jan 1, 2016
Messages
81
Likes
60
Points
25
Age
33
Kudasai

Kudasai

Member
Joined Jan 1, 2016
81 60 25
Nimefuatilia hizi gari (Disco 3 Na 4 pamoja Na Range Rover) kutoka japan Na Singapore nikagundua kuwa nyingi ni zenye engine 4.4L. Hizi si zitakuwa zinakunywa sana mafuta? Wadau mnasemaje? @cc Isanga family and others....
 
D

Dark child

Senior Member
Joined
May 25, 2017
Messages
177
Likes
184
Points
60
D

Dark child

Senior Member
Joined May 25, 2017
177 184 60
Kama hela inakuruhusu nunua. Nunua 3.0tdv6. Land rover haijawahi kuwa na shida ya spare nchi hii.
Mkuu RRONDO, ninahitaji Cylinder head ya defender 200TDI ya mwaka 1992, wapi naweza kupata hapo Dar?? ni duka gani wanauza na bei inaanzia ngapi? Ahsante
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
12,399
Likes
12,184
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
12,399 12,184 280
Nimefuatilia hizi gari (Disco 3 Na 4 pamoja Na Range Rover) kutoka japan Na Singapore nikagundua kuwa nyingi ni zenye engine 4.4L. Hizi si zitakuwa zinakunywa sana mafuta? Wadau mnasemaje? @cc Isanga family and others....
Kwa discovery 3 Hizo 4.4l v8 petrol usiguse mkuu kama we ni mtu wa bajeti za mafuta ila inatembea hatari,kama unataka economy chek Discovery 3 TDV6 2.7 Diesel
 
Tabash yamashta

Tabash yamashta

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Messages
276
Likes
199
Points
60
Tabash yamashta

Tabash yamashta

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2017
276 199 60
vipi hapo kwenye nyekundu, au ulidhani anazungumzia trekta?
Wewe muongo, au uliuziwa bovu, Discovry ni magari miongoni mwa magari imara sna, Ina pita njia zote, mafuta lita 5 inakwendi ya km 65* mashene haisumbui kabisa,, Mzee mkubwa asikudanga mtu,
 
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
3,963
Likes
4,945
Points
280
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
3,963 4,945 280
Kati ya Disco 4 na VW tourage which is better? comfortability naona VW iko vizuri. Vipi kuhusu durability na maintenance?
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
9,959
Likes
7,133
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
9,959 7,133 280

Kwa kuwa nimeendesha zote hizo mbili kwa kweli Touarag VW ni nzuri na imeipita mbali kwa usalama wa uendeshaji wa discovery
Don't get me wrong, hata land rover ni gari nzuri na zote nimebahatika kuendesha tena za 2018 ( zimeshatoka huku niliko)

Touareg imetulia sana na features zake ni sawa na discovery ila kuna extra zimo kwenye VW
Kwa mfano ukikata kona na taa zinamulika unakopita bit of a trick yaani taa zinageuka amazing
Pia cruise control inakuja kama standard yaani hulipii kama extra

All in all VW iko juu zaidi na sio rahisi pia
 
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
4,409
Likes
3,671
Points
280
Stanley Mitchell

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
4,409 3,671 280

Mkuu naomba uniambie zaidi kuhusu
VW PASSAT hasa ya 2010 na 2011 hasa iyo wanayoiita BLUE MOTION..

Nimeona kuna Engine ya 1.4L petrol na diesel 1.6TDi na 2.0TDI hapo unaonaje kwenye fuel economy??

Pia compare iyo VW Passat na Audi A4 japo wanasema ni almost same car kasoro body.

Pia vp unaionaje hii BMW 3 SERIES 320??Sent using Jamii Forums mobile app
 
Passat kuanzia 2011-2014 zote ziko sawa na zote zinakuja na diesel engine.
Blue motion ni nzuri sana inapunguza utumiaji wa mafuta sana
Lakini pia uzuri wake imependwa kwa sababu ya space kwenye boot inabeba mizigo zaidi
Ila kwenye uendeshaji sio nzuri hivyo kwani haititulii barabarani na sauti nyingi hata ufunge madirisha.
Pia ukitaka kufungua boot unapitisha mguu chini na boot inafunguka, hapo ni kama umebeba vitu kwa mikono yote miwili.

Kuhusu Audi A4 hizi zinaitwa Avant ni gari nzuri sana nimeendesha pia yaani ilivyotengenezwa ni sawa kabisa na TT au Q7 vyote vinafanana kasoro engine ukubwa wake tu.

Lakini kama ni kuendesha Audi imetulia barabarani A4 ni nzuri kwa kweli nimeendesha Audi zote na kila moja ni kali kuliko nyingine.
The best one i drove so far is 2017 SQ7 4litre V8 na 435 horsepower hii ni mashine haswa sio turbocharged ni supercharger

Audi ndio habari ya mjini kwa sasa nafikiri pamoja na bei zake kuwa juu lakini ni very comfortable

Kuhusu BMW kwa kweli siko katika upande wa hayo magari kwa hiyo sijui kabisa labda iangalie review katika net
I deal most of Range Rover, Land rover, Audis, and Jags
 
Asante sana kwa maelezo yako Mkuu.
Vp Audi A4 sedan acha iyo Avant...fuel economy yake ikoje mana naona engine ye pertrol ni 2.0L hamna 1.4T ama 1.6T sasa hapo si itakua inatumia sana mafuta mengi??
Na vp version ya diesel 2.0TDI fuel consumption yake???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
9,959
Likes
7,133
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
9,959 7,133 280
Asante sana kwa maelezo yako Mkuu.
Vp Audi A4 sedan acha iyo Avant...fuel economy yake ikoje mana naona engine ye pertrol ni 2.0L hamna 1.4T ama 1.6T sasa hapo si itakua inatumia sana mafuta mengi??
Na vp version ya diesel 2.0TDI fuel consumption yake???

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi zinatoka kwa type kuna B5 mpaka B9 kwa sasa
Nafikiri zipo za 1.6 saloon ni front wheel sio Quattro
Nafikiri ni European specs
 
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
3,963
Likes
4,945
Points
280
Masanja

Masanja

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
3,963 4,945 280
Kwa kuwa nimeendesha zote hizo mbili kwa kweli Touarag VW ni nzuri na imeipita mbali kwa usalama wa uendeshaji wa discovery
Don't get me wrong, hata land rover ni gari nzuri na zote nimebahatika kuendesha tena za 2018 ( zimeshatoka huku niliko)

Touareg imetulia sana na features zake ni sawa na discovery ila kuna extra zimo kwenye VW
Kwa mfano ukikata kona na taa zinamulika unakopita bit of a trick yaani taa zinageuka amazing
Pia cruise control inakuja kama standard yaani hulipii kama extra

All in all VW iko juu zaidi na sio rahisi pia
I am just in love with Germany cars. VW is the real machine Aise. Sema ni vipato vya wengi wetu kutotimiza mahitaji yetu but if you want confortability I mean to enjoy that real ride, and if you can afford (kipengele muhimu Sana hiki) I would say go for European cars but Germany cars in particular. Das ist auto!
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
9,959
Likes
7,133
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
9,959 7,133 280
I am just in love with Germany cars. VW is the real machine Aise. Sema ni vipato vya wengi wetu kutotimiza mahitaji yetu but if you want confortability I mean to enjoy that real ride, and if you can afford (kipengele muhimu Sana hiki) I would say go for European cars but Germany cars in particular. Das ist auto!
Nakubaliana na wewe kabisa
Germany wako juu sana kwa technology
Japan kapitwa vibaya sana sijui wamepatwa na nini.
Ukitaka gari kwa kweli go for German cars
 
mi_mdau

mi_mdau

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
563
Likes
50
Points
45
mi_mdau

mi_mdau

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
563 50 45
Nakubaliana na wewe kabisa
Germany wako juu sana kwa technology
Japan kapitwa vibaya sana sijui wamepatwa na nini.
Ukitaka gari kwa kweli go for German cars
I agree kuwa Mjerumani ana magari mazuri ila si kwamba mjapan amepitwa sana na technology. Nadhani waangalia/wanalenga masoko tofauti. Huwezi kulenga soko la Afrika na Asia ukatengeneza gari ya gharama kubwa
 
M

mzee wa manzese

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Messages
660
Likes
68
Points
45
M

mzee wa manzese

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2012
660 68 45
disco 3 v 6 ni rand 130,000 mpaka 150000 model 2005 mpaka 2007 na disco 4 ya kuanzia 2010 mpaka 2012 ni rand 250000 mpaka rand 300000 zipo tuu nyingi yard zao huko hata sio za kutafuta zidisha na Tsh 150 kupata shilingi
Naomba kujua Landover Discover TD5 2.5 kwa south Africa bei gani,hii gari naipenda sana
 
Forum statistics

Threads 1,250,894
Members 481,523
Posts 29,749,882