Land Rover Discovery 4 - Mega thread

Land Rover Discovery 4 - Mega thread

Hlw....kuna uwezekano wa kupata d2 south ya manual ila kabla haijaletwa bongo ibadilishwe engine iwekwe td300
Pia inaweza kuja na Engine uliyoikuta humo huko ndio ukabadilisha Engine ambayo umeibeba huku utaipata kwa gharama nafuu..hizo gari hazina bei kubwa wanazo sana Wazungu wakiuza wanauza bei ya kutupa zina kodi ya 11m mpaka 12m TRA..
 
Una mfumo wa kuileta Bongo au hadi niifate
Naleta Tanzania gari yeyote unayotaka kwanza nakutumia gharama zake za ununuzi mpaka Tunduma unaweza kutuma hela au Uje SA au nije huko tukabidhiane kwa kuonana yote sawa tu nipo SA naleta gari wiki ijayo ukiwa tayari tunawasiliana.
 
wadau naomba mwenye uelewa au uzoefu wa gari aina ya Land Rover Discovery 4, anipe maelezo.. specifications, bei, fuel consumption, upatikanaji wa spare parts, na kama inafaa sana kwa barabara zetu..
Ni gari nzuri na hudumu hasa ukizingatia service, ukitaka kui enjoy gari kwenye upande wa suspension, ibadilishe kwenda kwenye coils, utoe air suspension maana katika moja ya magonjwa ya discovery 4 hio inakufa haraka.
Nimemuagizia parts mdau wangu teyari, kaona bora abadilishe tu kuepuka shida ya Air suspension maana coils ni bei nafuu na hudumu sana.
 
Umewahi kuona land rover discovery 3 na 4 ambazo zimetolewa air ride na kuwekwa coil springs?
 
Embu tupe sample ya picha,, nimezoea kuona kwenye D2
DA3517_extra1__00348.jpg
 
Back
Top Bottom