Land Rover Discovery 4 - Mega thread

Usijaribu kununua discovery utaliuguza kila siku. Hayo magari ni spana mkononi, safari moja shamba nyingine garage.

Ni magari mazuri kwa muonekano na nguvu ila hayafai yanaharibika kila siku. Kuhusu mafuta hayanywi yanabugia, ukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi, si mchezo. Labda yapo yenye uwezo mdogo fuatilia. Ushauri wangu usichukue discovery.

Hizi picha nimeweka 05/12/2020 miaka minne baada ya comment ya juu ili mjionee wenyewe maoni ya watu online juu ya Land Rover. Google is free.

View attachment 1642020

View attachment 1642021

View attachment 1642022
Inawezekana hata Baiskeli huna!
 
Hizi discovery 4 nasikia zinazingua sana kwenye engine, huwa napita garage fulani ipo Mtoni kijichi inaitwa Dadi One stop njiapanda ya Neluka, Jamaa anajaza discovery4 pale hata sita saba zimejaa, mnazipendea nini?? gari zinasifa ya kupaki sana garage kuliko nyumbani
 
Pesa sabuni ya Roho
JamiiForums-752285274.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijaribu kununua discovery utaliuguza kila siku. Hayo magari ni spana mkononi, safari moja shamba nyingine garage.

Ni magari mazuri kwa muonekano na nguvu ila hayafai yanaharibika kila siku. Kuhusu mafuta hayanywi yanabugia, ukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi, si mchezo. Labda yapo yenye uwezo mdogo fuatilia. Ushauri wangu usichukue discovery.

Hizi picha nimeweka 05/12/2020 miaka minne baada ya comment ya juu ili mjionee wenyewe maoni ya watu online juu ya Land Rover. Google is free.

View attachment 1642020

View attachment 1642021

View attachment 1642022
 
Apo ni vitu viwili tofauti, hiyo moja ni p/up na nyingine ji station wagon,kila moja inatamba kivyake,ndio maana nikasema Amarok ni kaka mkubwa wa p/ups,iko clip moja niliiona disc3 na prado zilikuwa zinavutana kila upande,prado ikawa inaburuzwa tuu mpaka aibu
Hivi mkitembea barabarani huwa mnavutana

Huwa sijui maana halisi ya tag of war hio kuvutana huwa haina hata mashiko, Kuna video scania horse inavutwa na v8 lc200 Yani kuvutana ..lc200 ikashindwa , unahisi kwann na scania Ina nguvu zaidi? ..uzito mwingi uko mbele pale nyuma pepesi tairi za scania zilikuwa zinazunguka , Ila ikiwekwa tela inaweza kuzivuta hizo v8 kadhaa pamoja na mzigo kwenye tela

Washakuwa Wana compare Land Rover 90 kanavutana na gari ingine afu inashinda ..na hio video huwa hata Hawa blogger mchwara wanaipost wakisema Land Rover Ile Ina nguvu Sana huwa nacheka tu wanashindwa angalia kashata za Ile landrover na gari inayovutana nayo🤔
 
bobtony Mungu ni mwema utapata tuu na pia zinapungua bei kila miaka inavyokwenda ila Disco 3 sio ghari ni rand 100,000 mpaka 150,000 kama Tsh 16,000,000 kununua tuu mpaka 20milion ila kodi ipo 24milion kwa boda maana hakuna gharama za bandari na viingereza vingine tena na ya 2005 model mpaka 2007 model ndio zipo bei hizo mbele zaidi zipo bei juu...
Range Rover p38 ,1998 yom, kununua na kuitoa bandarini ushuru nk Ni Kama 25milion v8 Safi

Range Rover sport 2007 Kama 37m ukiagiza mwenyewe na k clear Kila kitu tenga 40m
 
Land rovers are known worldwide for unreliability. Hiyo ndo sifa yao kuu. Nishamiliki moja I know all about it. Google is free ujionee mwenyewe ni gari gani mbovu zaidi.
Hizi Land rover alizopanda Mwalimu mpaka kesho zipo Uyole zinashusha kabichi..109,110 na ndugu zake hapana mkuu labda uzungumzie kitu kingine hata hizo disco ni kwamba watu wananunua zilizotembea sana kwa sababu ya kulipa kodi ndogo mbona wenzetu Wakenya wanatumia matakataka yeyote ila ya miaka ya karibuni sijui mpaka Chevrolet grazer wanazo mjini...
 
Hapo chini wamegusia kwanini LR za zamani zilidumu na za sasa ni town divas. Haya sio maneno yangu ni watu wanaofanya hizi kazi for a living.

The Verdict on Land Rover’s Reliability​

Land Rover is not the brand for you if you want solid reliability.

Once upon a time, Land Rovers were built like a tank and applauded for their off-roading chops. They were once used for towing trailers and other heavy equipment. Unfortunately, those days have passed, and now, Land Rovers still struggle when it comes to reliability. Nowadays, Land Rover vehicles are synonymous with luxury and high price points – not so much in reliability.

Mkuu punguzeni kutisha watu bhana nilibadili ntarudi tena kwenye discovery ya 2008 mpaka 2010 nilitumia 2006/2007 ilikua poa tu mpaka nikaamua kuuza mimi magari nazingatia muda iliyotumika kama nimeipata kwenye hali nzuri najua sitasumbuka naenda mwenyewe kununua SA...mwaka 2002 miliwahi leta Honda Ballade ilikua auto nilishindwa kuuza kisa wanasema automatic baadae zilivyoanza kujaa wakawa wanaitaka wakati ilishaashwa kwa ajili ya famili wao walikua wanataka 504 na 505 tumieni magari mazuri ya miaka ya karibuni muondokane na hizo kadhia nimetamani Audi Q 3 au Q 5 bei SA wanauza sawa za mwaka mmoja 2012 au 2010 mimi huwa nanunua na sipati huo usumbufu wenu wa mtandaoni...
 
More power to you mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom