Land Rover Discovery 4 - Mega thread

mkuu hiyo gari haina shida kama mdau anavyoongea hapo juu ni gari bora, lina balance, confarble sana ndani, speed ipo na imara Landrover hiyo haili mafuta simu yangu inagoma ku upload picha zake inawezekana Bufa ajaelewa unazungumzia nini..Labdrover 3 au 4 Tdi Vhs hizo ndio gari mkuu usikatishwe tamaa hapa watu magari hawajui hata ukiuliza Ford Ranger XLT 2016 utaambiwa matatizo hayo wakati gari imevunja Record ya mauzo yaliyowekwa na Navara,Isuzu Kb,Toyota d4d...
Jamaa kazidisha kuponda eti discovery zina cc 4300 mi nasema si zote maana zipo za 4,5,6 na 8 clys
 
disco 3 v 6 ni rand 130,000 mpaka 150000 model 2005 mpaka 2007 na disco 4 ya kuanzia 2010 mpaka 2012 ni rand 250000 mpaka rand 300000 zipo tuu nyingi yard zao huko hata sio za kutafuta zidisha na Tsh 150 kupata shilingi
Boss.

Hivi ukinunua gari toka South lenye usajili wa huko. Ukalileta hapa bongo, unatakiwa kulitumia kwa muda gani hapa Tz hadi ulisajili?
 
Boss.

Hivi ukinunua gari toka South lenye usajili wa huko. Ukalileta hapa bongo, unatakiwa kulitumia kwa muda gani hapa Tz hadi ulisajili?
Mkuu mimi naona tunatumia tuu mpaka mwaka ila wewe utakavyoamua maana ile inatolewa kwa mtu mwenye resident permit ya kuishi SA kwa hiyo unasema unarudi kutembea au ambae sio raia anatumia gari Tanzania unaweza ukatumia unavyotaka ila wana masharti ya waanotakiwa kuendesha gari...sema ukilipia kibali chao unapata hela ya kulipia Kodi taratibu tu
 
Una uzoefu kwenye hilo?

Kibali kinagharimu kiasi gani?
 
Usijaribu kununua discovery utaliuguza kila siku. Hayo magari ni spana mkononi, safari moja shamba nyingine garage.

Ni magari mazuri kwa muonekano na nguvu ila hayafai yanaharibika kila siku. Kuhusu mafuta hayanywi yanabugia, ukiongelea discovery unaongelea cc4300 na zaidi, si mchezo. Labda yapo yenye uwezo mdogo fuatilia. Ushauri wangu usichukue discovery.

Hizi picha nimewe 05/12/2020 miaka minne baada ya comment ya juu ili mjionee wenyewe maoni ya watu online juu ya Land Rover.
Zipo discovery 2.7L 6cyl
 
Asante Sana Mkuu, kuna lawyer hapa Arusha ana discovery 4 ya S.A anasema hii gari yangu ndani ni kali Sana lkn kwa nje body yake ni nyanya i.e nyepesi tofauti na discovery 4 made in UK Mkuu.
Nijuavyo mimi Landrover UK au SA are simply the same. Hakuna manufacturer atakaekubali kuzalisha kitu kilekile na kutumia jina lake na kutoa kitu cha hali ya chini, hakuna. The fact is in SA they are doing the assembling only.
 
Mkuu mimi naona tunatumia tuu mpaka mwaka ila wewe utakavyoamua maana ile inatolewa kwa mtu mwenye resident permit ya kuishi SA kwa hiyo unasema unarudi kutembea au ambae sio raia anatumia gari Tanzania unaweza ukatumia unavyotaka ila wana masharti ya waanotakiwa kuendesha gari...sema ukilipia kibali chao unapata hela ya kulipia Kodi taratibu tu
Mkuu unaweza kujibu swali hili?
Isanga family
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom