Lamomy is back

Status
Not open for further replies.
Weeeh..!! Hujapewa bado?
Em cocastic mpatie kiongozi picha mnato za top za afu tatu [emoji81][emoji81][emoji81]

Watu wa NYC muwe mnatutumia nguo tunaadhirika huku ndugu zenu [emoji1787][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23] mwenzenu najionea maajabu tyuuh, shengesha za makerubi sitaki nataka zumaridii mwenyewee.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanapenda ubuyu wao waache wajidanganye hivo hivo kwamba hawajali kuonyesha micumer yao pm [emoji81][emoji81][emoji81]
Level niliyofikia hapa JF kuchachuana na makerubi ni kujidharirisha, mie huwa nadeal na Zumaridi mwenyewe.

Sipeleki watu Mjiniiii, na sitoiii kikiiiii atiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Level niliyofikia hapa JF kuchachuana na makerubi ni kujidharirisha, mie huwa nadeal na Zumaridi mwenyewe.

Sipeleki watu Mjiniiii, na sitoiii kikiiiii atiiiii. [emoji23][emoji23][emoji23]
Na wanaitaka kweli nafasi ya kupelekwa mjini 😹😹😹

Hao tusiwajibu muhimu team ziingie uwanjani nguchiro tuachane nao..!!
 
Depal na Fake p msiingie huo mtego, kaeni chini mpatane myamalize. Nyie ni marafiki yaliyopita si ndwele, gangeni yajayo
 
Depal na Fake p msiingie huo mtego, kaeni chini mpatane myamalize. Nyie ni marafiki yaliyopita si ndwele, gangeni yajayo
Wee mzee tulia hujui mambo yalipoanzia. Acha kuhoji na media zako uchwara..!! 😹😹😹
 
Wee mzee tulia hujui mambo yalipoanzia. Acha kuhoji na media zako uchwara..!! 😹😹😹
"Heri wapatanishi maana wao wataitwa wana wa Mungu" mathayo 5:9

Mimi nataka wapatane. Fake P na Depal hawastahili kuwa maadui
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…