Lamine Yamal Mchezaji Bora Chipukizi wa Kiume 2026

Lamine Yamal Mchezaji Bora Chipukizi wa Kiume 2026

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,108
Reaction score
7,146
Ni usiku wa tuzo za Ballon d’Or 2026 zinazofanyika leo, Oktoba 26, katika ukumbi wa London Palla.jpg


Nyota wa Klabu ya FC Barcelona na Timu ya Taifa ya Hispania, Lamine Yamal ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa Kiume wa Mwaka 2026 katika tuzo za Ballon d’Or zinazofanyika leo, Oktoba 26, Jijini London, Uingereza.

Soma Pia: https://www.jamiiforums.com/threads/hafla-ya-tuzo-za-ballon-dor-oktoba-26-2026-saa-1-00-usiku-nani-na-nani-kuibuka-kidedea.2487777/

Yamal ametwaa tuzo hiyo kwa mwaka wa tatu mfululizo, baada ya kushinda mwaka 2024, 2025 na sasa 2026, akiendelea kuonesha ubora wake katika soka licha ya umri wake mdogo.
 
Back
Top Bottom