Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,677
- 5,078
WANAFIKI na wenye husda Wanamchukia na kumkaba kwa Nia ya kumuumiza kabisa lakini mama anawapiga vyenga na matobo ya hatari mpaka Kuna wakati wanagongana wenyewe. Lamine Yamal anafanya hivyo hivyo pale Barcelona
WANAFIKI na wenye husda wanapambana kuhakikisha hapatani na yeyote. Mama anawalamba vyenga bila kelele. Na Sasa afcon, vikao vya bunge la Dunia n.k hivyooo tunavishuhudia Kila siku. Dogo Yamal haters hawatamani ashinde tuzo yoyote, achilia mbali kupendekezwa........dogo anaupiga mwingi na Kila siku yupo kwenye wapendekezwa wa tuzo.
Mashetani yaliyojificha nyuma ya dini yanamchukia mama kutokana na anakotoka na dini yake lakini mwanamke huyu ujasiri hajali na haondoki katika 'focus', anaendelea kuupinga mwingi kwenye mabarabara, mashule, afya, ajira n.k. Dogo Yamal ni hivyo hivyo; oooh, mweusi anayetokea Africa hivyo hafiti kwenye timu ya Hispania, lakini mavituz yake yanawaumbua haters.
Mahaters yanamchukia mama na hivyo yanajitahidi yenyewe kuwataja na kuwasifu waliopita Ili kumuondolea kujiamini. Mama huyu, alivyo vema, anawapotezea tu na yeye anaupiga mwingi mpaka kimya kimya mihaters yenyewe inakubali. Kule ulaya wanajitahidi mno kumtaja messi na viungo wengine pale Ili kumvunja moyo dogo. Dogo hajali, anazungusha na kupiga magoli kama kayatengeneza yeye.
Hiyo ni kwa uchache tu.
Hakika Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ni Lamine Yamal kabisa wa bongo.