Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 309
oooooh akili unyayoniiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!
eeeeeeh!!!!
eeeeeeh!!!!
great thinker mkabaji??you mean great thinker ndo mbaya wao????
mmh pearl njaa inabana hapa hao bata vp?mbona kimya mnakula wenyewe?ah ah ah ah twin u made my deiiiii,I like it
mkuu akili kumuvufu (not kichwa)
learn to sympathize with others - no matter what great mind or thinking you claim to posses it is inhumane to cheer when someone somewhere is in great pain! Wa-kurd hawakufurahia kunyongwa kwa saadam hussein! This did not fix their fundamental problems - hata hawa waliopora huyu jamaa na familia yake hawatasuluhisha matatizo yao - hiyo njia siyo sahihi na wala sustainable by any chance...
poleni kwa maswhaibu hayo - naamini kama kila mtu atawajibika kwa nafasi yake aliyonayo haya yote yatafika mwisho.
AK, do you know the person? your questions were directed as if you know the person who was involved in this issue!!! Plse light it up to us!!ANGALIZO:
NIMELAZIMIKA KU-EDIT HII OST ILI NIELEWEKE VIZURI.
SINA UGOMVI WOWTE NA HUYU NDUGU ALIYEPATA AJALI, BALI NIMETOA MCHANGO WANGU WA MAWAZO KULINGANA NA HALI HALISI YA JAMII YETU ILIVYO HASA KUHUSU UHUSIANO WA ALIYENACHO NA ASIYE NACHO. CHA KUSIKITISHA ZAIDI, HATA FAMILIA ZIMEATHIRIKA SANA TA TOFAUTI HIZI ZA KIUCHUMI KATIKA JAMII. HIVYO UNAPOSOMA APA TAFADHARI UWE NEUTRAL NDIO UTANIELEWA VIZURI.
NAMPA POLE SANA NDUGU YETU ALIYEPATA AJALI NA NAMUOMMBEA APONE HARAKA NA FAMILIA YAKE. NI KAWAIDA KWA JAMII YETU KUTAFAKARI MAISHA KWA MAPANA YAKE PALE TUNAPOPATA TUKIO LA KUSIKITISHA KAMA MSIBA , AJALI NK. NAOMBA SOTE TUTUMIE TUKIO HILI KUTAFAKARI NAMANA TUNAVYOISHI NA NDUGU NA MAJIRANI ZETU TUREKEBISHE MAISHA YETU NDIPO TUTAKUWA WANA WA MUNGU KWELI. MMBARIKIWE SANA NA POLE KWA WOTE WALIOKWAZWA NA POST HII
MUNGU AWAPE AMANI.
amejua kwamba yana mwisho baada ya kukutana na wakora wa mujini?????????
alipokuwa anakula mkate na kutupa mingine wakati anajua kuna masikini wamemzunguka hakujua kuwa yana mwisho pia?????????
alitaka kuwahi msibani kisha awasimange ndugu zake masikini walioshindwa kuhudhuria mazishi kwa kushindwa hata nauli tu kuwa "hawashiriki shughuli za kifamiliya" na yeye aonekane anapenda familia kuliko wengine?????
je alifikiria japo kumsaidia ndugu yake mmoja masikini nauli naye ashiriki msiba, au hakujua kuwa "yana mwisho" nayo???????
Ni nini hii maneno?
Ni wapi palipoanzia kuharibika?
Na je wakati huo tulikuwa wapi, hadi mambo yanafika huku?
Ni jana tu, ndugu na jamaa yangu huyu, alipata simu ya kufiwa na babake mzazi huko kwao Mbeya, akakusanya familia yake(mke na watoto), wakaondoka Dar kuelekea eneo la tukio, wakiwa na usafiri binafsi.
Wakiwa wanapita eneo la Mikumi usiku wakavamiwa na majambazi, wakaporwa kila walichokuwa nacho(fedha, simu, documents, mabegi etc), wakaachwa hawana msaada.
(true scene, nimepigiwa leo)
mmh pearl njaa inabana hapa hao bata vp?mbona kimya mnakula wenyewe?
ah ah ah ah twin u made my deiiiii,I like it
Mkuu Akili KumuVufu (not kichwa)
Learn to sympathize with others - no matter what great MIND or THINKING you claim to posses it is inhumane to cheer when someone somewhere is in great pain! Wa-Kurd hawakufurahia kunyongwa kwa Saadam Hussein! This did not fix their FUNDAMENTAL problems - Hata hawa waliopora huyu jamaa na familia yake hawatasuluhisha MATATIZO yao - Hiyo njia siyo sahihi na wala sustainable by any chance...
Poleni kwa maswhaibu hayo - Naamini kama kila mtu atawajibika kwa nafasi yake aliyonayo haya yote yatafika mwisho.
oooooh akili unyayoniiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!
great thinker mkabaji??
aah matusi hayo,paka j hataki hata kusikia mambo haya,labda BWABWAsijakunyima babu,kuna mtu alituboa ghafla,ngoja nicheki na paka J nimwambie akupe bata
aah matusi hayo,paka j hataki hata kusikia mambo haya,labda BWABWA
Ni nini hii maneno?
Ni wapi palipoanzia kuharibika?
Na je wakati huo tulikuwa wapi, hadi mambo yanafika huku?
Ni jana tu, ndugu na jamaa yangu huyu, alipata simu ya kufiwa na babake mzazi huko kwao Mbeya, akakusanya familia yake(mke na watoto), wakaondoka Dar kuelekea eneo la tukio, wakiwa na usafiri binafsi.
Wakiwa wanapita eneo la Mikumi usiku wakavamiwa na majambazi, wakaporwa kila walichokuwa nacho(fedha, simu, documents, mabegi etc), wakaachwa hawana msaada.
(true scene, nimepigiwa leo)
da sorry mkuu siunajua lunch time tunajisahau anyway turudi kwenye mada.Mhhh!...mbona mnaipeleka hii thread kusikohusika kulikoni?
Poleni sana...itabidi tuwe tunaruhusiwa kutembea na silaha sasa!!!!
ni sawa unayosema lakini si unakumbuka yaliomkuta swetu?katembea na panga kwaajili ya kujilinda tu,lakini wale wajeshi walipoona panga ndio wakapata sababu ya kumuua.........Kama unaenda safari ya mbali na hujatumia public transportation una usafiri wako binafsi mie naona silaha itakuwa muhimu kwa mtindo huu.
Binadamu siku hizi si wema hata kidogo, kuna baadhi ya binadamu wanafanya vitu utafikiri mnyama vile.
Pole yao walioporwa vitu, nafuu wamewabakishia roho zao.