Hivi mwenye mume/mke huyo akiiona picha hiyo hapa jf utasema nini wewe uliyeituma? acha hizo bwana uhuru mwingine unaweza kusababisha ndoa za watu kuvunjika jamani kuweni makini
Hapo ni afisa muendeshaji mkuu wa nbc akibadilishana mawazo na mkuu wa mauzo kitengo cha makampuni sasa mawazo gani weye afisa unaongelewa mkononi wakati ungesema kwa mdomo bibie angesikia safiiiiiiii kabisaaaaaa mbona unakuwa na vituko kama kibonde bana
Tuache masihara huyomdada ni mzuri na amependa atiiii!!!!!!
Hivi mwenye mume/mke huyo akiiona picha hiyo hapa jf utasema nini wewe uliyeituma? acha hizo bwana uhuru mwingine unaweza kusababisha ndoa za watu kuvunjika jamani kuweni makini