Laini za simu zaidi ya 18,000 zafungiwa kwa uhalifu

Nimesoma kuwa line millioni 18 zimehusika kwenye uhalifu, sasa wahalifu wenyewe wako wangapi? kama kila mhalifu alikuwa na line mbili maana yake watanzania milioni kumi ni majambazi, yaani kila watu watano mmoja ni jambazi. kama ni kweli basi nchi yetu sio salama kabisa, kama jeshi letu lingekuwa imara maana yake hawa wote wangekuwa jela, je jela zetu zinao uwezo wa kuweka hawa wote, au tuje na mpango wa kujenga jela mpya, kwahili tunaomba ufafanuzi zaidi isijekuwa hii habari imetiwa chumvi

Takwimu za kijinga sana hizi. Waseme ngapi zimenunuliwa. Itakuwa mara mbili ya hizo. Ukifungiwa leo hapo hapo unanunua nne mpya. Waeleze wangapi wamekamatwa na kufungwa kwa utapeli wa kutumia simu. Kufungia tu haina tija yoyote
 
Back
Top Bottom