Laini ya lipa M-Pesa inaweza kuchukua milioni ngapi hadi kufikia ukomo wa miamala?

Jumaaofficial

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
250
209
LIPA KWA M PESA

Habari wana JF,

Naomba kuuliza laini ya LIPA kwa M PESA inauwezo wa kuchukua milioni ngapi hadi kufikia ukomo wakupokea tena miamala.

6f2155808ca6fa7e2ca80bb3a4539c84.jpg

Je naweza kuitumia laini hii kama-bank yangu ya kuhifadhi pesa zangu kuna risk zipi zakuitumia laini ya lipa kwa M PESA kama bank.

ad443c996b93ea16d88e8d1ccb35bd77.jpg

Maoni yako muhimu
 
Ukomo wake 3mils. Pia inategemea na Huduma unazozitoa pia kama ni shell ukomo unakuwa zaidi ya 20mls.
 
LIPA KWA M PESA

Habari wana JF,

Naomba kuuliza laini ya LIPA kwa M PESA inauwezo wa kuchukua milioni ngapi hadi kufikia ukomo wakupokea tena miamala.

6f2155808ca6fa7e2ca80bb3a4539c84.jpg

Je naweza kuitumia laini hii kama-bank yangu ya kuhifadhi pesa zangu kuna risk zipi zakuitumia laini ya lipa kwa M PESA kama bank.

ad443c996b93ea16d88e8d1ccb35bd77.jpg

Maoni yako muhimu
Kuna madaraja. Tunaita "tier" yapo matatu tier 1, tier 2 na tier 3. Kila laini ya kibiashara ina daraja la tatu "tier 3" lipa kwa Mpesa na zile laini za Wakala zote zipo katika hilo daraja. Maximum balance ni 1bilion, single maximum transaction ni 50 mil per transaction , kwahyo MTU akitaka kulipia zaidi ya 50 mil, eg. 54 mil ataambiwa mpokeaji amefika ukomo Wa kupokea hyo pesa. So unaweza pokea 20 30 40 up to 50 mil as many as you can lakini ukipokea ikafika hadi 1bilion utaambiwa umefika ukomo Wa kiwango cha kuhifadhi (maximum balance limit) itabidi upunguze ndo uendelee kupokea tena.
Tier 3 huwez kupata kama huna TIN Namba na leseni ya biashara ndo maana ukitaka LIPA NAMBA au laini ya uwakala lazima uwe na hivo viwili otherwise ununue kwa MTU ambAe alikuwa na leseni na tin.

Laini za kawaida tunazotumia zipo daraja la kwanza na pili tier 1 &2 ..tier one mwisho kuchukua ni 3 mil. Tier 2 mwisho ni 5mil ingawa kuna maximum transactions tofauti katika kila daraja . kuna muda laini yako inashindwa kupokea pesa kutokana na ukomo Wa pesa katika laini yako. Over
 
Safi mkuu
 
Mkuu upo vizuri sana nafikiri ulitakiwa uwe mwalimu yaani unaelekeza mtu kiasi cha kuuliza anakikosa kwani umegusa kila mahali
 
Kuna madaraja. Tunaita "tier" yapo matatu tier 1, tier 2 na tier 3. Kila laini ya kibiashara ina daraja la tatu "tier 3" lipa kwa Mpesa na zile laini za Wakala zote zipo katika hilo daraja. Maximum balance ni 1bilion, single maximum transaction ni 50 mil per transaction , kwahyo MTU akitaka kulipia zaidi ya 50 mil, eg. 54 mil ataambiwa mpokeaji amefika ukomo Wa kupokea hyo pesa. So unaweza pokea 20 30 40 up to 50 mil as many as you can lakini ukipokea ikafika hadi 1bilion utaambiwa umefika ukomo Wa kiwango cha kuhifadhi (maximum balance limit) itabidi upunguze ndo uendelee kupokea tena.
Tier 3 huwez kupata kama huna TIN Namba na leseni ya biashara ndo maana ukitaka LIPA NAMBA au laini ya uwakala lazima uwe na hivo viwili otherwise ununue kwa MTU ambAe alikuwa na leseni na tin.

Laini za kawaida tunazotumia zipo daraja la kwanza na pili tier 1 &2 ..tier one mwisho kuchukua ni 3 mil. Tier 2 mwisho ni 5mil ingawa kuna maximum transactions tofauti katika kila daraja . kuna muda laini yako inashindwa kupokea pesa kutokana na ukomo Wa pesa katika laini yako. Over
So lain yang ha kawaida nawezaongezewa uwezo kupokea zaid ya M 5!?.....NIFANYEJE!?
 
Aisee Asante saana kwa maelekezo mulwa,

Je kuna gharama yoyote either km deposit au malipo ya kulipia kabula ya kupata lipa kwa mpesa?
Na je kwa muda gani inaweza ikatoka tangu maombi yakiwa submitted?
Asante
 
Back
Top Bottom