Awapigie simu wazazi wote awaambie yafuatayo
Kama wanajua technology.. awaambie simu yake imeibiwa na kuna rafiki yake kamwambia aliyeiba anatukana watu walio kwenye phonebook
Kama hawajui technology... awaambie kuwa kuna virus ameingia kwenye simu yake na anatengeneza message za matusi na zinajituma kwenye phonebook yote.., kwahiyo anapiga kuwapa taadhari wakitukanwa wasishangae
Ndo akome alomwambia nani kuwa mtoto wa kike huwa anatukanwa?anataka kuleta mambo ya ujafarai kwa shyrose banji!akale jeuri yake ili siku nyingine ajifunze kumuheshimu mwanamke.sijui anatokea kishumundu huyo,aakh...kanikera sana.
Ahsante sana wameelewa ila bado walinipigia wakilaumu kweli kweli. Sijui niwaambie vipi? Maan wanasema huyu mdogo wako hana adabu anatutusi halafu anasema ni virus!!!
(ii)anatutusi anawasingizia wengine kama wameiba simu yake!!!
Nikawajibu ngoja nimtafute mdogo wangu nimuulize vizuri...
Sasa sijui wameelewa au bado hawajaaelewa. Kwa namna navyowajua wazazi wetu hiyo ni issue !
Bado nahitaji zaid ushauri.
wewe ni hatari,kama wewe ni she basi jamaa ajiandae kudanganywa na kama wewe ni he basi mama ajiandae kudanganywa,maana inaonesha jinsi gani ulivyo mtaalamu wa kutunga uongo,hongera sana
Awapigie simu wazazi wote awaambie yafuatayo
Kama wanajua technology.. awaambie simu yake imeibiwa na kuna rafiki yake kamwambia aliyeiba anatukana watu walio kwenye phonebook
Kama hawajui technology... awaambie kuwa kuna virus ameingia kwenye simu yake na anatengeneza message za matusi na zinajituma kwenye phonebook yote.., kwahiyo anapiga kuwapa taadhari wakitukanwa wasishangae
Awapigie simu wazazi wote awaambie yafuatayo
Kama wanajua technology.. awaambie simu yake imeibiwa na kuna rafiki yake kamwambia aliyeiba anatukana watu walio kwenye phonebook
Kama hawajui technology... awaambie kuwa kuna virus ameingia kwenye simu yake na anatengeneza message za matusi na zinajituma kwenye phonebook yote.., kwahiyo anapiga kuwapa taadhari wakitukanwa wasishangae
Awapigie (unfortunately keshawapigia) kwani anajua kuwa hao wezi waliwatumia wazazi wake hizo msg? Kwa nini wazazi wasishtuke? Hizo kamba bado hazina mashiko na ndio maana wazazi wameshitukaAwapigie simu wazazi wote awaambie yafuatayo
Kama wanajua technology.. awaambie simu yake imeibiwa na kuna rafiki yake kamwambia aliyeiba anatukana watu walio kwenye phonebook
Kama hawajui technology... awaambie kuwa kuna virus ameingia kwenye simu yake na anatengeneza message za matusi na zinajituma kwenye phonebook yote.., kwahiyo anapiga kuwapa taadhari wakitukanwa wasishangae
Hapana Mkuu mimi ni He na sio muongo kabisa lakini ninachoamini, kama ukweli utamuumiza sana nimpendaye ni bora nimdanganye kuliko kumwabia ukweli utakaomuumiza..
Wewe ndio umekosea, issue unaijua halafu wanakupigia wazazi kukuuliza unawaambia ngoja nimpigie???????????? wewe ungesema hata mimi kuna mtu kanitumia ujumbe wa matusi ungekuwa umesawazishaAhsante sana wameelewa ila bado walinipigia wakilaumu kweli kweli. Sijui niwaambie vipi? Maan wanasema huyu mdogo wako hana adabu anatutusi halafu anasema ni virus!!!
(ii)anatutusi anawasingizia wengine kama wameiba simu yake!!!
Nikawajibu ngoja nimtafute mdogo wangu nimuulize vizuri...
Sasa sijui wameelewa au bado hawajaaelewa. Kwa namna navyowajua wazazi wetu hiyo ni issue !
Bado nahitaji zaid ushauri.
Awapigie (unfortunately keshawapigia) kwani anajua kuwa hao wezi waliwatumia wazazi wake hizo msg? Kwa nini wazazi wasishtuke? Hizo kamba bado hazina mashiko na ndio maana wazazi wameshituka
Ilikua sijaupata huu msaada.Wewe ndio umekosea, issue unaijua halafu wanakupigia wazazi kukuuliza unawaambia ngoja nimpigie???????????? wewe ungesema hata mimi kuna mtu kanitumia ujumbe wa matusi ungekuwa umesawazisha
Awapigie simu wazazi wote awaambie yafuatayo
Kama wanajua technology.. awaambie simu yake imeibiwa na kuna rafiki yake kamwambia aliyeiba anatukana watu walio kwenye phonebook
Kama hawajui technology... awaambie kuwa kuna virus ameingia kwenye simu yake na anatengeneza message za matusi na zinajituma kwenye phonebook yote.., kwahiyo anapiga kuwapa taadhari wakitukanwa wasishangae
Kaka avatar yaonesha upo juu!Hapana Mkuu mimi ni He na sio muongo kabisa lakini ninachoamini, kama ukweli utamuumiza sana nimpendaye ni bora nimdanganye kuliko kumwabia ukweli utakaomuumiza..