SHADOWANGEL
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 528
- 354
Wewe roho yako iliyo ya kimalaika iko wapi? Kwani ni lazima wote tufanane? Ni haki yangu kuchangia hoja. Sijamtukana mtu so mkuu uwe na lugha nyepesi usipandikize watu mapepoRoho ya kishetan katika ubora wake
hiv unajielewa wewe? hao akina maua ndo wadudu gani? kama vanesa mwenyew hawezi kumvaa jide sembuse hao vitoto vya juzi, ebu kuwa na adabu mbweha wewe...Ni majungu tu na vijembe kwa mtalaka wake. Kwanini asimuvu tu ahead na life lake. wimbo mzuri beat safi sauti nzuri illa ujumbe umeharibu. Akina Maua et.al wataendelea kukukimbiza dada
umeona eeh!!, kumuangusha jide inahitaj kaziiiiiiHuyu jide kashindikana. .dah!
Alivyosema anaamka tena alimaanisha, huyu mwanamke ni kiboko, ana vitu vya aina yake, kumshusha itahitaji kazi ya ziada...hatumii nguvu kuimbaMimi huwa natofautiana sana tena sana kwenye mambo mengi na Jide lakini linapokuja swala la kuimba hapo ndipo hunishinda kabisa!
Sasa kwenye hii Tobiii ndi ndi ndi...kaniacha hoi kabisa nimemkubali hakika nimejikuta nausikiliza kila muda!
Hongera Jide..
Rutta mwambie waiter akuongezee nyingneMimi huwa natofautiana sana tena sana kwenye mambo mengi na Jide lakini linapokuja swala la kuimba hapo ndipo hunishinda kabisa!
Sasa kwenye hii Tobiii ndi ndi ndi...kaniacha hoi kabisa nimemkubali hakika nimejikuta nausikiliza kila muda!
Hongera Jide..
Tz ina vituo 100 vya Redio au vi 2 tu??Uko powa waipe promo tu, gadna akikaza pale e FM huku ruge km kawaida yake inaweza isifike mbali
Captain G aliubiga leo ktk ubaoni angeutambulisha ktk kipindi cha ubaoni ingenoga pembeni mpoki tena
don't forget to tune in EFM kesho" #NdiNdiNdi
Kumbe jamaa hana kinyongo" safi sema JD asingekua comfortable kufanyiwa interview na Captain GCaptain G aliubiga leo ktk ubaoni angeutambulisha ktk kipindi cha ubaoni ingenoga pembeni mpoki tena
Umejaa mihemkohiv unajielewa wewe? hao akina maua ndo wadudu gani? kama vanesa mwenyew hawezi kumvaa jide sembuse hao vitoto vya juzi, ebu kuwa na adabu mbweha wewe...
Huyo asikupotezee muda huwa ni shost yake jide.... ndo wanaozidi kumpoteza jide.... wimbo kawaida saaaana ila hiyo promo ya mashost ndo utachoka.... nafuu hata ujio wa Ally Kiba na mwana ulikua poa kuliko huu upuuzi wa nti nti nti...sijui ndo upuuzi gani.... nina hakika huu wimbo utasanda ndani ya miezi miwili.Umejaa mihemko
...huwezi elewa nimeandika nini?
Na ni bora angeimba msg tofauti kuliko kuendelea mganda mtalaka wake. Nini maana ya ku take time to heal..... huyu hajapona bado.Nimemdharau sana jide licha ya kwamba namkubali sana.Huyo asikupotezee muda huwa ni shost yake jide.... ndo wanaozidi kumpoteza jide.... wimbo kawaida saaaana ila hiyo promo ya mashost ndo utachoka.... nafuu hata ujio wa Ally Kiba na mwana ulikua poa kuliko huu upuuzi wa nti nti nti...sijui ndo upuuzi gani.... nina hakika huu wimbo utasanda ndani ya miezi miwili.
Hakuna anayekataa uwezo wake.... ni msanii mkali ila kwa wimbo huu nampa pole.... mziki wa bongo umebadilika sana ukizubaa watoto wanakukalisha ma ukongwe wako.Na ni bora angeimba msg tofauti kuliko kuendelea mganda mtalaka wake. Nini maana ya ku take time to heal..... huyu hajapona bado.Nimemdharau sana jide licha ya kwamba namkubali sana.
Nilijua anakuja kumuweka ktk target na kumfocus Yemi Alade ambaye ameshaiteka East Africa na kiswahili. Amekuja tofauti kabisa. hii ngoma wala haifiki Kenya....Hakuna anayekataa uwezo wake.... ni msanii mkali ila kwa wimbo huu nampa pole.... mziki wa bongo umebadilika sana ukizubaa watoto wanakukalisha ma ukongwe wako.