Kwanza sijawahi kukununia,ever!Inanichomaje hadi nijinyonge kwa mfano, hayo ni mawazo yangu na si sheria wala biblia au msahafu ni juu yake/yako kuyaamini au kutokuyaamini. Hebu tuyaache hayo, vipi mimba feki imeishia wapi ??? ( mimba ya wema a.k.a bosi wako na wewe kama " wema replies" jina unalotumia Instagram, siamini kama utanuna kama ulivyoninunia na leo bahati mbaya ume quote )
Teh teh..Sasa chizi si ameshamshusha milembe..Aachane nae..Ye apige kazi sasaMipasho nayo si ni sehemu ya kazi?
Nimeuelewa sana huu wimbo.
Hivi hujui nakutafuta?
Ufafanuzi hapo red,halafu hiyo ya povu ndio nilivyo maana nakuachaje kwa mfano??? wakati niko full salio na nipo ofisini kwangu mi na laptop yangu DELL LATITUDE E5410.Kwanza sijawahi kukununia,ever!
Ila huwa nakupuuza maana nalijua povu lako kama hivi tu tayari ushajaa upepo.
Bado tu unaendelea kunihisihisi?
Siku hizi nimeacha ile kazi ya reception hotelini uliyonipa?
...kwan jamii forum umeisahau?wimbo wa kawaaiiida
...kwan jamii forum umeisahau?
humu watu wanaongozwa na mahaba.
hata mie nimeusikia ni wa kawaida sana watoto lazima waendelee kumkalisha.
inaweza isipewe airtime ya kutosha, mbona nyimbp yake ya forever ni kali sana lakini haikuhit kiivyoDah kweli hata simba akikonda hawezi kuwa Kama paka.fundi ni fundi tu.
Wimbo wake wa forever mkali sana huwezi kuulinganisha na nti nti nti.......... bado ulisanda... kwa wimbo huu plus fitina za bongo nakupa miezi miwili mtakua mmeusahau.inaweza isipewe airtime ya kutosha, mbona nyimbp yake ya forever ni kali sana lakini haikuhit kiivyo
Akuna binadamu alie kamilika.. Kama unampa sifa mpe na uweke nukta mengine sio mahali pakeJIDE,JIDE we noma, sema unatatzo la kiburi.
Angetaja timu yako ungekaa kimya. Tatizo liko wapi kua tim kiba... Kwanza Ndo wanaendana.... Nyimbo nzuri, zimetulia na mafundisho awatanui misuli waki imbaNyimbo nzuri,ila mwisho wake utaishia hapa kama bado ataendelea nao ( eti wewe ni msanii tena wabongo hii hii halafu unasema mimi ni timu fulani )Lady Jay Dee: Mimi ni Team Kiba
Utakua ww. Ivi amuishiwagi maneno nyie... Kila siku kuwaombea wenzenu mabaya tu. Ebu pumzisha akili zako kwa amani cse kama mpaka leo dunia aikutambui... Utabaki ivyo ivyo.... Mchawi weweMimi ni shabiki mkubwa wa Jide ila hii aimwachi salama. Watu wameitafsri kama dharau.
Kama aukuelewa wewe wenzako ishaingia damuni. Acha wivu ..... Kama aumpendi sio lazima umsemee... Fanya yakoNaona Jide anatumia nguvu kubwa sana kurudi. Mbona tu kama angetoa singo ya kueleweka watu wangetambua tu. Oooh naamka tena, nani alisema amelala?
Mmmh !!! Wakati uo ulikua padri auJide umeimba vizuri. ...kuna mtu amekushtua.
Zaman ulikuwa unasound kama unaimba kwaya.
Good song Good Come back be blessed
Mmmmmh!!!!! Maneno yako sio ukuta wa kumfanya asisonge mbele. We piga domo yy maisha yaleee. Rip wivu...kwan jamii forum umeisahau?
humu watu wanaongozwa na mahaba.
hata mie nimeusikia ni wa kawaida sana watoto lazima waendelee kumkalisha.
we jina lako km nakujua...Nyimbo nzuri,ila mwisho wake utaishia hapa kama bado ataendelea nao ( eti wewe ni msanii tena wabongo hii hii halafu unasema mimi ni timu fulani )Lady Jay Dee: Mimi ni Team Kiba