Ladies

Bana ataniagia kipipi, mie nikimuaga ntachapwa afu ntashindwa kuja.

Halafu nina wasiwasi Kipipi atakuchongea kwa mama ataanza oh SL katoka na mwanaume halafu kasema atalala hukohuko. Halafu usiwe na wasiwasi akikufukuza niko tayari kushi na wewe au haujamaliza shule
 
he he he,
afu wewe, usinikumbushe machungu
maana hadi nlilipia eneo ukakimbia na nguo mkononi.

Nna hasira, we acha tu.
Sio wewe uliye nikimbia kaunta wakati umekunywa vinywaji vyangu wewe nikikutia mikononi
 
Halafu nina wasiwasi Kipipi atakuchongea kwa mama ataanza oh SL katoka na mwanaume halafu kasema atalala hukohuko. Halafu usiwe na wasiwasi akikufukuza niko tayari kushi na wewe au haujamaliza shule
Umeona? Bora nisimuage kabisa... Nipo form two B!
 
Wewe, sitaki kuamini. Kwani husband yuko jela? Sijajua jamani ningempelekea hata chai, kafanyaje tena?

Mwanakwetu unaniangusha. Yaani hujui kama hubby wako yuko kifungoni, hakyanani utajiju mahari hairudi aisee! Sijui kafanya nini mi nimeinyaka tu hii newz kwenye posts za watu....na nilitegemea we unipe full event!!! Lol
 
he he he,
afu wewe, usinikumbushe machungu
maana hadi nlilipia eneo ukakimbia na nguo mkononi.

Nna hasira, we acha tu.

Kwa nini nisikimbie wakati niliona kitu kinaning'ing'inia hewani wakati nilidhani nitakuta kitu mteremko. Huu utapeli mimi siukubali kabisa
 
huyu naye,
mmshamwambia aache wizi wa mayai ya kuku wa kienyeji hasikii
aona sasa wamemtoa minundu
na mke wanamwiba hivi hivi tunaona.

Yaani nitonye kuwekwa selo tu.....basi ushaona na bahati!! Kuwa makini swaiba.....
 
unakunywa maziwa yakiwa recorded kwenye kikombe au live kutoka kwa mkamuliwaji??

Una akili, umechagua kinywaji chema, lol

Nakunywaga Maziwa, na Maziwa kwenye maeneo kama haya hua muhali kuyapata !
Sasa itakuwaje ?
 
nilitaka liwe fundisho kwa kizazi kijacho
si kila king'aacho kimeng'arishwa.

Kwa nini nisikimbie wakati niliona kitu kinaning'ing'inia hewani wakati nilidhani nitakuta kitu mteremko. Huu utapeli mimi siukubali kabisa
 
Mwanakwetu unaniangusha. Yaani hujui kama hubby wako yuko kifungoni, hakyanani utajiju mahari hairudi aisee! Sijui kafanya nini mi nimeinyaka tu hii newz kwenye posts za watu....na nilitegemea we unipe full event!!! Lol
Lazima kalogwa na klorokwini tu hakuna mwingine, huezi amini usingenambia wala nisingejua! Nimeingia jf mida ya jioni toka jana! Ntakupitia asubh tumpelekee chai.. Natamani kulia sema hakuna wa kunifuta machozi... I'll miss him jaman, daaah!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom