Ladies

chit chat ndo mpango mzima
mje na vimini, madira marfuku
kuanzia saa 12 jioni.
 
Jonson unatumia Kinywaji gani nikuagizie hapa nilipo?
Noamba nipigie simu kwa number niliotuma PM, Usijali waweza bip!
Karibu saana.
 
Hey sweet wifi.... Nilikutafuta tuje leo woote hapa, Ulienda wapi? hata kaka Cookie nasikia alikua hakupati...
Wifi nilienda saluni, kakako tulikuwa na kijiugomvi kidogo ndio mana niliamua kumzimia simu! Ila kwa sasa shwari manake shemeji PAW na mkewe King'asti walikuja kutusuluhisha!..


Wewe mzima wifi?, how is my kaka jamani? Amepotea sana!
 
halafu wifi yako ana mkwala kweli......yaani namcheki tu hapa na pensi nyanya lake anatafuna mua alafu anawazuga watu na offer za kilaji....lol!!


Na wewe umeniboa! Ndio nini kutoa siri? Thank God hujasema sijachana nywele...lol
 
halafu wifi yako ana mkwala kweli......yaani namcheki tu hapa na pensi nyanya lake anatafuna mua alafu anawazuga watu na offer za kilaji....lol!!
Hahahaha! Sipati picha pensi nyanya na muwa!!!lol kama namuona vile! Nakuja sasahivi kuwajoin hapo! Namalizia kupaka wanja!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom