Ladies

ankal anapikiwa na cousin golden mpolee. Ukirudi utamkuta shavu dodo, kitambi hiha!

aiseeee! Narudi sasa hivi!!!! Golden Mpoleee?? Kipipi wapi wewe unipe Lift kabla sweetie hajafa kwa sumu ya mchanganyiko wa ingriedients zisizoeleweka!! lol
 
ila kuna mtu simwoni jamani
nataka kama kupaa hivi
hadi nimwone...

Ntarudi, ngoja nikamtafute kulee
 
aiseeee! Narudi sasa hivi!!!! Golden Mpoleee?? Kipipi wapi wewe unipe Lift kabla sweetie hajafa kwa sumu ya mchanganyiko wa ingriedients zisizoeleweka!! lol

hahaha! Wapwa tunalinda lakini, huwa tunaonja kwanza.
 
Hapa kweli pa Ladies ! Hapa patakosa vichenipati kweli au sijui mtu kusutwa !
Sidhani.
 
Hahahaha! Sipati picha pensi nyanya na muwa!!!lol kama namuona vile! Nakuja sasahivi kuwajoin hapo! Namalizia kupaka wanja!

Wahi mwaya.....na pensi nyanya lake eti ananifinya nisiseme yaani akiruka tu na lenyewe linaruka! Alafu alikuwa ameficha na kapakti cha karanga, kamedondoka ndo namie nikapata cha kutafuna!!! Lol
 
kloro nimeshinda nae humu, ameenda kutembeza kahawa atarudi b'dae. Chenchi yako kaniachia ila nataka nikuzulumu.
Khaaa, hajakuza mtaji mpaka leo bado anatembeza kahawa??? Mwenzie TF ameacha kahawa sasa anatembeza viatu vya mtumba...bado kidogo atafungua duka..
 
aiseeee! Narudi sasa hivi!!!! Golden Mpoleee?? Kipipi wapi wewe unipe Lift kabla sweetie hajafa kwa sumu ya mchanganyiko wa ingriedients zisizoeleweka!! lol

Leo unalipa mwanangu mwenyewe, hadi lift zimepanda bei siku hizi!! Sweetie wako hawezi kufa....kwanza mwenyewe alivosherekea kubaki na wapwa?? Heeeh.....mie simo lol!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom