Ladies

Natafuta mtu wa kutoka nae! Nampa nafasi achague mwenyewe twende wapi.
 
Tafadhali usitaje sijafanya pedicure mieze karibu 6 sasa..... Hafadhali umenisitiri kutotaja makurubasi....lol

Hivi mbona wewe hutaji ovaroli ulilovaa? toka umetoka kazini na uma kenika wako hujavua wala hujanawa mikono na wala mua...

Usijali, nitabandika picha yako kule jf photos ila sitasema kama ni wewe manake sweetie wako kwa mikwenzi huyooo...mmh atanitoboa kichwa aisee!! Hahahah ilo ovaroli langu ndio identity, alafu sie tushazoea kula hivo hivo, na hizi kazi zetu nikisema ninawe nitanawa mara ngapi sasa wakati deal za njiani kibao tu??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom