Mwanamke alievaa sketi ni rahisi kupendwa kuliko wavaa suruali.
Kwa mwanamke alievaa suruali mwanaume anaumiza hisia nyingi zaidi kuliko mwanamke alievaa sketi.
Mwanamke alievaa suruali anampa maswali mengi sana mwanaume kabla hajamtokea.!!!
Daa.. Kuna kaukwel ndani yake mana hawa wavaa jeans a.k.a masista duu wananipa maswali si mchezo.
Nimeona wachangiaji wengi wakionekana kuvutiwa na miguu ya wanawake.
SWALI: Uzuri wa miguu uko katika nini? Na ni kwanini miguu huonekana kuwa dili kiasi kwamba wanaojidhania kuwa wanamiguu mibaya wanavaa suruali? What is so special with the so called beautiful legs?
Kumbe wanaume wengi hatukubaliani suruali.!!
Ngoja miye nisome novel yangu. Nimevaa gauni lakini usafiri ukiuona utajikojolea mwenyewe. Navaa gauni kuogopa kusumbuliwa na wasiotulia.
wewe wasema
kuna tunaomix hayo
mavazi,leo skirt,kesho gauni
pedo,suruali nk,hatuvutii o?
hakuna ukweli wowote hapo!!
Hata hii ni skirt... Sijui mtoa mada anamaanisha skirt gani?????
Ni kwanini iko hivyo kwako?Kwangu mvaa surual na siketi za mpasuo(mavazi yasiyo na staha) hata nikipewa bure sichukui,
hahahaaa!!!!na tukivaa skin jeans
ndio hua wanakoma na sisi,hapa wanaongea
tu!!wanapenda sana!!
umeonaee! Hawana lolote wanaongopea wenzao humu, tena nikipiga pedo ndio kabisa wanatambaa chini kama nyoka.. he hehe
Naona kikubwa ni umbo la mtu ndivyo atakavyopendeza kwenye sketi au suruali,wanawake wengine wana miguu kama spok za baiskeli au mguu unakigimbi haswaa au unakuta mtu goti jeusiiiii dah surual kidogo inatuficha
Tatizo n umbo la mguu c wanawake wote wanamiguu ya kuvalia sketi bhana cc ndio waonaji bhana!inaweza ikawa soft ila myemamba yakawa n yale mtu juu tembo chin ccmiz!ila c wote wapo ambao wanapendeza kwenye sketi ya aina yoyote ila wengi suruai zinawatoa maana hata kama miguu spok akiva skin jeans anatoka kama mnene akivaa trouser inayokubaliana na umbo lake anatoka bomba piasio wote wanao vaa suruali wanaficha miguu yao mibaya wengine tunamiguu mizuri soft na laini lakini tunavaa na kunawengine wanamiguu kama ya joti na wanapiga mini mbaya!
Tatizo n umbo la mguu c wanawake wote wanamiguu ya kuvalia sketi bhana cc ndio waonaji bhana!inaweza ikawa soft ila myemamba yakawa n yale mtu juu tembo chin ccmiz!ila c wote wapo ambao wanapendeza kwenye sketi ya aina yoyote ila wengi suruai zinawatoa maana hata kama miguu spok akiva skin jeans anatoka kama mnene akivaa trouser inayokubaliana na umbo lake anatoka bomba pia
Mwanamke alievaa sketi ni rahisi kupendwa kuliko wavaa suruali.
Kwa mwanamke alievaa suruali mwanaume anaumiza hisia nyingi zaidi kuliko mwanamke alievaa sketi.
Mwanamke alievaa suruali anampa maswali mengi sana mwanaume kabla hajamtokea.!!!
ha!ha!ha! Labda unaumbo la mwanamieleka.!!!Mimi mbona navaa mpaka za chini ya naniliii.......lakini hata psiiiiiiii sipati,......nina mkosi gani mie........